Tanzania hakuna anayelipwa zaidi ya TZS 15M, sawa na $7000 per month, lengo ni kuhakikisha gap kati ya masikini na tajiri haliwi kubwa sana.
Sasa kwa hali hiyo ya "gap" kuwa kubwa kiasi hicho, jiandaeni kwa migomo isiyokua na kikomo, pia serikali yenu haiwezi kuwa na pesa ya kuweza kufanya miradi ya maendeleo kwasababu pesa yoote serikali inayokusanya inaishia ktk mishahara, kwahiyo msishangae mkiona GoT inafanya mambo makubwa ya maendeleo kwa pesa yake, ninyi hamuwezi chochote kile, kumbe hata Galana Kulalu pia mlikopa. Kenya ninyi ni watu wa ajabu sana.