Bosi wa KQ wa asili ya mabeberu analipwa mara kumi zaidi ya JPM na kila kuchao ni kutengeneza hasara ya mabilioni

Bosi wa KQ wa asili ya mabeberu analipwa mara kumi zaidi ya JPM na kila kuchao ni kutengeneza hasara ya mabilioni

Tanzania hakuna anayelipwa zaidi ya TZS 15M, sawa na $7000 per month, lengo ni kuhakikisha gap kati ya masikini na tajiri haliwi kubwa sana.

Sasa kwa hali hiyo ya "gap" kuwa kubwa kiasi hicho, jiandaeni kwa migomo isiyokua na kikomo, pia serikali yenu haiwezi kuwa na pesa ya kuweza kufanya miradi ya maendeleo kwasababu pesa yoote serikali inayokusanya inaishia ktk mishahara, kwahiyo msishangae mkiona GoT inafanya mambo makubwa ya maendeleo kwa pesa yake, ninyi hamuwezi chochote kile, kumbe hata Galana Kulalu pia mlikopa. Kenya ninyi ni watu wa ajabu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23] you are WRONG
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kunijua hunijui lakini unadai sina kazi! Mpuuzi kweli wewe acha kudandia watu usiowajua humu na ujuha wako mwisho lumumba siyo humu.
Sijasema wewe huna kazi, nilikuuliza kama unaujua huo Ugonjwa. Kuhusu kudandia, nani aliyeanza kuweka comment katika post kati yangu na wewe?
 
Akili yako ndipo ilipoishia hapo. Huwezi kuja humu na kuandika pumba halafu utegemee pumba zako ziachwe hivyo hivyo. Jiongeze nenda kule kwenye jukwaa la watoto ukacheze na watoto wenzio badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani.

Nina uhakika mzazi wako wa kike ndiye mjinga "nambari one", usingedandia mazungumzo ya watu wakati kichwani umejaza makohozi tupu.
 
Akili yako ndipo ilipoishia hapo. Huwezi kuja humu na kuandika pumba halafu utegemee pumba zako ziachwe hivyo hivyo. Jiongeze nenda kule kwenye jukwaa la watoto ukacheze na watoto wenzio badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani.
Ndio sababu nikakuuliza, huu ugonjwa unaoitwa " Post jobless stress syndrome ", ulishawahi kuusikia?.
 
Go back to school to learn about doing your homework in order to be able to participate in any meaningful discussion instead of writing LIES.

Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
 
Go back to school to learn about doing your homework in order to be able to participate in any meaningful discussion instead of writing LIES.
Nilishaenda shule hadi form Four, inanitosha.

Kuhusu kufanya home works, tukiwa secondary tulizifanya home works nyingi sana hadi nilikua ninazichukia.

Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
 
Go back to school to learn about doing your homework in order to be able to participate in any meaningful discussion instead of writing LIES.
Mbona Hilo swali la mtaji wa JPM lipo wazi mda mrefu..Ama una maelezo tofauti na haya?
Screenshot_2019-05-23_144200.png

Kwa maneno yake mwenyewe anaingiza mpunga wa madafu Tzs 9m kila mwezi(ksh 400k) hiyo ni nusu ya mwasiasa wa kawaida kenya na 1/10 ya bosi wa KQ.
Kama huna payslip yake usije hapa na kauli zako za vichakani
 
Back
Top Bottom