Bosi wa Reli, ATCL na TANESCO mnasubiri nini ofisini?

Nchi ya wajinga hii mkuu ndio maana watu wanajipigia tu.
 
Jamani jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji849][emoji849] bilion 86 hazijaliwa,
Waliletewa invoice ili zilipwe ndo kama kula wangekula baada ya kulipwa
 
Bosi wa TRC Masanja Kadogosa ni Msukuma na lazima aliwe kichwa
 
Kama hakuna kibaya kilicho tokea unataka wafukuzwe Kwa sababu gani?
Kitambo watu walikua wanakuheshim bt now days umekua wa hovyo hovyo...sometime kukaa kimya kunaweza kukusaidia ku reserve ka heshima kadogo uliko bakiza...
1. Mahakamani watu wanafikishwa kwa tuhuma za kua na nia ya kutenda kosa sio lazima utende kosa as long as ushahidi upo...
2.Mama anataka walio inflate price za ndege watupishe though hawajatuibia bado bt they were abt to, hao wa Tanesco kesi yao ina tofauti gani na hii?
 
Wanakusikia kwa kenge hao
 
Malori, mabus yanaingia kwa wingi sana hivi sasa.
Vituo vya mafuta vinaota kama uyoga hivi sasa, all the way to Bukoba, Mwanza and Kigoma.

Efficiency ya SGR maana yake ni hatari kwa biashara ya malori, mabus na mafuta.

TUKIFANYA MASIKHARA BILA KUTUMIA UTEMI NA UKATIRI, BASI HATA HII SGR INAWEZA ISIISHE NA HATA IKIISHA INAWEZA ISIWE EFFICIENTY.
 

 
Ukimkuta mwizi anaiba kwako ukamzuia, inamuondolea yeye kuwa mwizi
Ni ujinga Tu na wataendelea kulindana, nchi hii wapuuzi wengi mno. Mwizi atamchekea huyo ili wakati mwingine amuibie vizuri shida mwenye mamlaka taarabu nyingi baada ya vitendo. Nyani anaocheka nao Leo , kesho atakuja kulia huku akishika tama.
 
Boss kawa takataka siku zote labda mlikuwa hamumuelewi tu naona yeye ni chawa wa mtoto wa mlamba asali
 
Ndio maana wameongea hapo wamempa tenda mwenye bei ya juu bila sababu za msingi.
 
Bila kusahau mavhorofa mapya kariakoo yani watu kuna kuna trend ya kuvunja maghorofa na kujenga mapya kariakoo kuna mtu alianzisha uzi kuhusu hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…