Bosi wa Reli, ATCL na TANESCO mnasubiri nini ofisini?

Bosi wa Reli, ATCL na TANESCO mnasubiri nini ofisini?

Hiyo ya TRC ngoja tupate maelezo ya upande wao. Wale wenye uzoefu na tenda za serikalini wanafahamu kuwa cheap ain't always the best opinion. Unaweza kuletewa vitu vya ajabu japo vina meet all specifications. Yanakuwa kama yale mabehewa ya orange waliyoleta wakati ule 🤣.
CAG anasema hakukuwa na sababu za msingi.
 
Mleta uzi kaitaja tanesco, mi nasema hata ingehusika hakuna wa kumwajibisha maana yuko mwezi mtukufu[emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama yule wa trc na atcl walivyo kwenye kwaresma 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
 
THE CITIZEN

How corrupt Tanzania leaders hide their looted bilions​

Summary
The conspicuous absence of Tanzanian politicians and government officials on the list of people stashing away large sums of money in offshore accounts has raised questions about where and how corrupt bigwigs hide their ill-gotten gains.

Dar es Salaam. The conspicuous absence of Tanzanian politicians and government officials on the list of people stashing away large sums of money in offshore accounts has raised questions about where and how corrupt bigwigs hide their ill-gotten gains.

Hundreds of millions of US dollars have been looted in Tanzania through various scandals such as Mereremeta, EPA Account, Mwananchi Gold, Tegeta Escrow Account, and BAE Systems Radar scandal.
The External Payment Arrears (EPA) Account rip-off involved Sh133 billion that was irregularly paid by the Bank of Tanzania (BoT) between 2005 and 2006 to a dozen of firms, some of them fake. The rush to convert the cash from local currency into the dollar by the culprits sent the value of the shilling tumbling in 2006. Around the time senior government officials inflated the cost of constructing the BoT Twin Towers to more than Sh400 billion.

Then there was the £28-million radar purchase scandal from UK’s BAE Systems Company in 2008.
To facilitate the deal the UK military equipment firm had to pay about £12 million to middlemen and Tanzanian government officials.

There were also the Mwananchi Gold and Mereremeta scandals involving misappropriation of $6 million and $118 million respectively. In 2014 it resurfaced that about Sh306 billion from the Tegeta Escrow Account was paid to various individuals. Government officials and politicians were implicated in the deal.

And the list continues.
There were strong indications in some cases and evidence in others that most of the loot from these corruption scandals was transferred out of the country but the details released by the International Consortium of Investigative Journalists (ICIJ) on Monday included the names of at least 45 businessmen but did not include the name of a single politician or government official.

The situation was different in other countries where heads of state, other politicians and government officials were named in the Panama Papers and forced by their voters to address their links to the offshore tax havens. Iceland’s Prime Minister Sigmundur David Gunnlaugsson had to resign after being named in the Panama Papers. Possible reasons for the conspicuous absence of Tanzanian politicians in the Panama Papers are:

Using middlemen
There is a strong possibility that Tanzanian politicians and some government officials use the names of other people to hide their wealth.

The executive director of the Concern for Development Initiatives in Africa, Mr Bubelwa Kaiza, and a political science lecturer at the University of Dar es Salaam, Mr Richard Mbunda, also say that can be possible.

“There is a trend in this country that when they (top leaders) want to steal they will use Tanzanians of Asian origin. These middlemen will operate as their proxies in each and everything including transferring the funds and running of the offshore accounts,” Mr Kaiza says.

Mr Kaiza calls this Tanzania’s political anthropology. Some scholars have called it crony capitalism. “It is nearly impossible to find the name of any Tanzanian leader or former or politician directly implicated in the leak or any of such nature.

But that does not mean they are not corrupt or that they do not operate offshore accounts.”
Mr Mbunda argues that the Tanzanian ruling class is not that exposed to the murky ways of tax havens and therefore prefers to use camouflage in hiding “dirty money” to avoid detection.

Connecting the dots
If further investigations are made using details from the Panama Papers documents it is possible to find out which politicians and government officials are linked to the 45 business tycoons listed. In fact observers say some of the tycoons mentioned in in the Panama Papers documents have strong political connections established over a long period of time. In fact some of them were politicians themselves.

“Well, I understand that not all the individuals mentioned [in the Panama Papers] are corrupt, but do we have to wait for the ICIJ to tell us that some of those Tanzanians mentioned are involved in major corruption scandals and they also have direct links with current and former leaders?” Mr Kaiza queries.

Limited scope of ICIJ public leaks
The ICIJ database drawn from Panama Papers does not include all the names of offshore company owners. This is because that information “is often buried in emails, power-of-attorney letters and internal notes of Mossack Fonseca employees and cannot easily be extracted in a systematic manner,” the ICIJ says in its website.

Moreover what is revealed is only a fraction of the information contained in the Panama Papers.
Kigoma Urban MP and anti-corruption campaigner Zitto Kabwe also argues along the same line. He says Tanzanians should exercise patience as more information is being revealed. Tanzania could prefer tax havens that are closer such as Dubai and Mauritius and Seychelles, whose details have been minimal.

“Once more leaks from the three heavens are exposed, sthen definitely we will know more about Tanzanians hiding their wealth outside the country,” says Mr Kabwe. “While we were probing the Meremeta scandal, we found out that $153 million was transferred from Tanzania to Mauritius, but we don’t know what individuals were involved.”

What should be done?
A tax expert who preferred anonymity says the Panama Papers revelations are just the tip of the iceberg and called for the local accountability organs to probe all individuals and firms of Tanzanian origin mentioned.
“The Financial Intelligence Unit, or FIU, must make thorough investigations to establish that the monies in those offshore accounts were not embezzled or laundered down here. The Tanzania Revenue Authority must probe to ensure that no firm was involved in tax evasion.

The investigations can unmask high-ranking politicians and government leaders that we are now asking why they were not featured in the leak.” Mr Kabwe also notes that although not all offshore accounts have been opened illegally, it is important for FIU and the Prevention and Combating of Corruption Bureau to make thorough investigations and check if nothing wrong was committed by all Tanzanians named.

Mr Kabwe notes that the country should introduce a ‘reverse burden of proof’ provision so that corrupt individuals or those involved in illicit trade should be forced to prove how they have legitimately accumulated their wealth as proposed by UK Prime Minister David Cameron.
 
Ripoti za CAG na TAKUKURU zilizowasilishwa mbele ya Rais Mapema leo Machi 29, 2023 zimeonyesha ufisadi mkubwa katika Mashirika Makubwa ya TRC, ATCL na TANESCO, Mhe Rais amesema waondoke swali je mnasubiri nini?

ATCL
“Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea, last Installments ilikuwa tulipe dola milioni 37, invoice imekuja dola milioni 86….. unauliza mkataba ulisemaje? hii imetokana na wapi?, ooh vifaa vimepanda bei, vipi? mkataba wetu ulisemaje”

“Na bado aliyepokea anakuletea Serikalini hii ilipwe ndio invoice tumepokea….. stupid, ulipopokea umechukua hatua gani? umeuliza nini? umefanya nini? ukilitazama kwa undani hili ongezeko limeanzia huku ndani kuna Watu wameongea huko

Rais anatumia kauli nyepesinyepesi sana kwenye mambo nyeti kabisa yanayodidimiza taifa letu!
Stupid, pumbavu, mtupishe! Ndo nini hio? Inatusaidiaje kama taifa? Pesa zitarudi? Wahusika watahukumiwa kifungo cha maisha na kutaifishwa mali zao?

Pesa zetu zinapotea kizembe tu alafu kauli ndo kama hizi, rais unataka tukueleweje? Ukifika kwa Mungu utajibu nini?
Waliokula hizo pesa wakifika kwa Mungu watasema Rais alikua mpole, aliturusu tule kwa urefu wa kamba zetu na tulijia hatatufanya chochote!

Naona hauna mpango wa kugombea 2025. Ahsante mh. Rais
 
Hata mimi nitawashangaa sana watakaokuwa kwenye nafasi za upigaji kisha wasipige. Iwapo watu wanafanya hivyo hivyo miaka yote, na hakuna hatua yoyote ya maana wanachukuliwa, huku wananchi wakiishia kupiga kelele mitandaoni, yaani uache upigaji ili iweje labda?
Nyerere alisema ukizoea kula nyama ya mtu huachi[emoji16][emoji16][emoji1787]
 
-Hii kauli ya kila mtumishi ale kwa urefu wa kamba yake,wajanja wameitafsiri vizuri sana.watendaji wanakula mpaka mouthtouch zao zinatapakaa supu.
-Wizi kila Kona,hata Magereza yetu,hayatatosha kama sheria itachukua mkondo wake.
-Taarifa ya CAG na Takukuru zina maana gani, wakati Serikali haichukui hatua zozote kwa vijana wao wapendwa waliokabidhiwa taasisi hizo kuziongoza.
-Hii ni syndicate ya viongozi wa Serikalini na wasimamizi wa mashirika hayo.
-Huu wizi huenda ni maandalizi ya uchaguzi Mkuu wa 2025 wameanza mapema maandalizi na mikakati ya kujipanga na kukusanya rasilimali fedha.
-Chama tawala na Serikali inafahamu mipango yote na hakuna hatua zitakazochukuliwa dhidi ya wahusika
-, Mawaziri husika watatolea ufafanuzi Bungeni na mambo yatakwisha

Ushauri
1). Wahusika wote wajitafakari,ili kulinda heshima ya Mwenye Kiti wa CCM na Rais JMT.
2). CCM isimamie Serikali yake,kutekeleza mapendekezo ya CAG na Takukuru
 
Mbona maelezo ya Tanesco yako wazi kabisa kuwa Takukuru imesaidia Tanesco kukwepa gharama..
Kwahiyo hakuna gharama waliyoingia...sasa unatakaje??
Hahaha una tetea dini wewe uzuri kwa sasa unafahamika. Zamani ulikuwa na akili sana sijui nani kakuroga kiasi hiki?
 
Anza na Waziri Mkuu, Mawaziri husika, Makatibu wakuu wa hizo Wizara na CEOs wa hayo mashirika
 
sasa kutoka Bil 600 to Tril 1.1..
Huku dola mil 36 to dola mil 86.

Hizo zote watu wamepiga, halafu kuna mtu anasema nchi masikini hii na yule aliyesema nchi tajiri hii tukamuona mjinga..

Hizo hela unajenga madarasa mangapi, unasomesha bure watoto wangapi..
Hii nchi inapigwa vizuri sn
 
Huyu maza anazingua yeye na CCM yake ndio wa kutimka faster maana nchi imewashinda .kuchwa kutwa taarabu zinatuchosha
 
Inasikitisha sana...

Hizo hasara za serikali ni faida za wengine...
 
Ripoti za CAG na TAKUKURU zilizowasilishwa mbele ya Rais Mapema leo Machi 29, 2023 zimeonyesha ufisadi mkubwa katika Mashirika Makubwa ya TRC, ATCL na TANESCO, Mhe Rais amesema waondoke swali je mnasubiri nini?

ATCL
“Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea, last Installments ilikuwa tulipe dola milioni 37, invoice imekuja dola milioni 86….. unauliza mkataba ulisemaje? hii imetokana na wapi?, ooh vifaa vimepanda bei, vipi? mkataba wetu ulisemaje”

“Na bado aliyepokea anakuletea Serikalini hii ilipwe ndio invoice tumepokea….. stupid, ulipopokea umechukua hatua gani? umeuliza nini? umefanya nini? ukilitazama kwa undani hili ongezeko limeanzia huku ndani kuna Watu wameongea huko”

“Hatuwezi kwenda hivyo na nadhani hawa wanaopokea hizo invoice wakazileta kwa raha zao kabisa Serikalini watupishe, hawafai kuwa kwenye hizo nafasi, kama wanafaa angepokea huko akalihoji” Rais Samia.

TANESCO
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Salum Hamduni amesema Takukuru ilidhibiti hasara ya Sh81.99 bilioni ambayo Serikali ingepata kutokana na Shirika la Umeme Tanesco kutozingatia masharti ya mkataba baina yao na Kampuni ya Pan-African Energy Tanzania (PAET).

TRC
TRC ILIMKATAA MZABUNI WA TSH BILIONI 616.4 NA KUMPA WA TSH. TRILIONI 1.119 BILA SABABU ZA MSINGI

Akiwasilisha Ripoti ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo mbele ya Rais Samia, Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amesema uamuzi huo ulisababisha ongezeko la matumizi ya Tsh. Bilioni 503.2 (82%) lisilokuwa na ulazima

Pia, katika ununuzi wa 'Locomotives' na Makochi ya Abiria, Shirika la Reli (TRC) lilitekeleza Mkataba bila dhamana ya Utendaji na kusababisha hasara ya Tsh. Bilioni 13.7 kutokana na Mkandarasi kushindwa kutimiza Masharti ya Mkataba

Aidha, CAG Kichere amesema Ukaguzi wake umebaini uwepo wa Manunuzi yenye Gharama Kubwa, Upotevu wa Fedha na Majadiliano ya Mikataba Yasiyolinda Maslahi ya Taifa na kusababisha kutofikiwa kwa Malengo yaliyokusudiwa
TUTAKUKUMBUKA CHUMA JPM!!
 
Back
Top Bottom