Haya maswali ndio yananishangazaga kila siku,na hii inaonekana watu mnaenda against nature,we umeshaona wapi dume kukataa jike,si ni kiumbe jike ndio kaumbwa kukataa?Sasa kama na madume siku hizi wameanza kukataa basi very soon human race will be an endangered specie.
of couse amekamilika kila idara. anakata kilaji mno. naogopa kuwa mtumwa maana kila atakachokuwa anataka nikubali!
NiPM contacts zake nitakusaidia!
Kwani ofc za Mzee Hosea huzijui.....? hahahhaha kama vipi mpotezeyee mazima
wana jf, niko katika wakati mgumu. bosi wangu ananitaka kimapenzi, nimejaribu kumpotezea naona nakwama. sasa ameandaa safari ya kikazi mimi na yeye tu, halafu hataki twende na gari, anataka tukwee pipa ili dereva asiende. mimi naogopa maana ni hatari katika kibarua changu, nifanyeje jamani?
kakutaka wewe, ushauri uombe JF, watu banaa
sasa bacha kaka yangu huyu mgeni tu
Join Date Thu Nov 2010 Posts 4 Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts Rep Power 0 mara unataka kumuingiza moja kwa moja kwenye infidelity kama huyo bosi she ameolewa c utamletea matatizo mtoto wa watu halafu bora asingekuwa bosi labda mfanyakazi tu mwenzie kwa ninavyojua sisi wanawake tulivyo atakoseshwa uhuru akitembea nae akisikia tu ana mtu mwingine achelewi kufukuzwa kazi. Bora huyo bosi angekuwa he na huyo she jinsia me hawamaindigi sana