Bosi wangu wa kike ananitaka, nifanyeje?

Bosi wangu wa kike ananitaka, nifanyeje?

wote wanao kwambia mega ni wazinzi, achana na uzinzi muombe mungu atamwaibisha shetani,kibarua huwa hakiaribiki kwa kukataa ngono,tena naamini ukikataa ndo atakuheshimu,ila ukikubali kibarua kipo hatarini mifano ipo mingi kwa akina mama waliogawa matokeo yake ni mbaya,jiheshimu uheshimiwe
 
Haya maswali ndio yananishangazaga kila siku,na hii inaonekana watu mnaenda against nature,we umeshaona wapi dume kukataa jike,si ni kiumbe jike ndio kaumbwa kukataa?Sasa kama na madume siku hizi wameanza kukataa basi very soon human race will be an endangered specie.
 
kula mzigo ili uyafikie malengo ya milenia +mkukuta na mdog wake mkurabita fasta
 
Dogo ogopa unaelekea kubaya, bora upoteze hiyo job, god will provide. Look at JOSEPH AND POTIPHARS'S WIFE in the bible
Genesis: 39:1-23. Joseph was immensely blessed after avaiding this temptation. Be Blessed.
 
Haya maswali ndio yananishangazaga kila siku,na hii inaonekana watu mnaenda against nature,we umeshaona wapi dume kukataa jike,si ni kiumbe jike ndio kaumbwa kukataa?Sasa kama na madume siku hizi wameanza kukataa basi very soon human race will be an endangered specie.

Labda na yeye tayari ameishakuwa endangered specie
 
Huyo kibosile hakutakii mema na hata ikibidi kazi achana nayo Mwenyezi Mungu atakufungulia ulaji mwingine............ukimruhusu tu umekwisha hapo......................atakuwa anakuendesha puta kwa sababu yeye kakamata mpini wewe umekamata makali....akivuta mpini vidole vyako vitazagaa ardhini......shauri yako..........................na hao watu huwa na wivu sana.....aweza kukutoa roho...............
 
Kwani ofc za Mzee Hosea huzijui.....? hahahhaha kama vipi mpotezeyee mazima
 
Kwani ofc za Mzee Hosea huzijui.....? hahahhaha kama vipi mpotezeyee mazima

Hosea atawachakachua wahusika wote wawili afadhali alimalize yeye mwenyewe....................
 
wana jf, niko katika wakati mgumu. bosi wangu ananitaka kimapenzi, nimejaribu kumpotezea naona nakwama. sasa ameandaa safari ya kikazi mimi na yeye tu, halafu hataki twende na gari, anataka tukwee pipa ili dereva asiende. mimi naogopa maana ni hatari katika kibarua changu, nifanyeje jamani?

mkuu hapo pagumu sisi kukushauri manake inategemea;

kama umeoa/kuolewa ni vizuri ukaiheshimu ndoa yako
kama bado msela kama Rev masanilo unaweza kumega kisela
ila inabidi ujue marital status ya bosi wako
kama bosi nae ana ndoa usijaribu kaka mke/mume wa mtu sumu!!:nono:
 
sasa bacha kaka yangu huyu mgeni tu
Join Date Thu Nov 2010 Posts 4 Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts Rep Power 0 mara unataka kumuingiza moja kwa moja kwenye infidelity kama huyo bosi she ameolewa c utamletea matatizo mtoto wa watu halafu bora asingekuwa bosi labda mfanyakazi tu mwenzie kwa ninavyojua sisi wanawake tulivyo atakoseshwa uhuru akitembea nae akisikia tu ana mtu mwingine achelewi kufukuzwa kazi. Bora huyo bosi angekuwa he na huyo she jinsia me hawamaindigi sana

kwani kujiunga nov.2010,rply 0,post 0 ..... inakuhu!
 
mimi thijui ! aah... lakini kwa hili be veri careful.... coz in both sides if you are not careful enough there may be something u'll regret
 
Back
Top Bottom