Bosi wangu wa kike ananitaka, nifanyeje?

Bosi wangu wa kike ananitaka, nifanyeje?

Mega haina sumu hiyo...hata hivyo make sure ndomu zinatawala ila mara nyingi watu kama hao mie nawazamisha kwenye scaner kwa uhakika zaidi maana zile silaha za maangamizi alokuwa anazitafuta the BUSH Iraq inawezekana huyo boss ndo anazo so kama vipi mscan kwanza..
 
Huo ni mtihani mkubwa!! Ukweli ni kwamba ukiondoa kuwa yeye ni bosi wako na yeye pia anahisia kama binadamu...kutakuwa na hatari kama yeye atakuwa ni mke wa mtu kwani mke wa mtu ni sumu ahana naye bana kazi kwani yeye ndo aliyekuleta hapo c una vyeti vyako.......kama atakuwa pia c mke wa mtu inabidi uwe na taadhari pia kwani kuna gonjwa ukimwi baba...mpotezee tu sababu iyo haitoshi kukufukuzisha kzi we nenda nae safari kama kawa...
 
Inabidi uwe makini sana kwa sababu usipotimiza takwa lake anaweza geuza kibao kuwa ulimtokea au ulitaka kumbaka hivyo ikawa tabu kwako na familia.

Jaribu kushirikisha watu wa karibu ili wajue hilo pia kumega si suluhisho kwani afya yake waijua?
 
Hii Weee Vp? Tafuta ndoms kama paketi tano hivi kafanye mambo, acha ujinga.
kama bado unasita nipe mimi (Nitumie namba yake ya simu)
 
Kweli kabisa mega tu, lakini usije ukazama kihivyo, mfanyie mapozi nayeye kama wao huwa wanafanya utakula maisha na atakuogopa maana utakuwa na siri zake
piga game tu kwa kulinda maslahi ya kazi yako lakini usizoee sana kwa sababu utapotea...lakini eat it menn!!
 
wana jf, niko katika wakati mgumu. Bosi wangu ananitaka kimapenzi, nimejaribu kumpotezea naona nakwama. Sasa ameandaa safari ya kikazi mimi na yeye tu, halafu hataki twende na gari, anataka tukwee pipa ili dereva asiende. Mimi naogopa maana ni hatari katika kibarua changu, nifanyeje jamani?

jifunze kusema nooooooo.
We nenda hadi huko mwanza mnakokwenda, ila mkifika reception akachukua chumba kimoja tu, basi ww ugome na ubaki hapo reception. Kumbuka mkasa wa yusufu na mke wa potifa, hiyo itakusaidia na huna haja ya kuumiza kichwa mtu wangu. Ndege isije kukucost maisha yako................

Usisahau kutupa feed back mara utakaporudi. Tunasubiri majibu hapa jamvini.
 
Mbona ni rahisi tu. Mwambie kuwa wewe una anemophobia na pipa, mwambie yeye atangulie na pipa wewe utaenda na dereva. Akichomoa, ikifika siku hiyo unajiuguza kabisa na safari inavunjwa.
 
POLe 4 the Dilema.cha msingi wew linda KIbarua chako.Mega safely,fanya kihuni-uchenzi ikiwezekana mpelekee ktk Tigo.HATORUDIA teena.Atakuheshimu inabaki kazi.But play Hard to get.siku hizi mademu hasa MaBoss wameanza kwa Predetors kwa vijana.
2.Jilinde na VVU
 
ucjaribu we nipe contact zake dawa yake ninayo atokusumbua tena na kibarua chako kitakuwa salama na utapata ganji nzuri kwa kutoa no zake
 
Kaka usijaribu kulala kabisa na boss wako!!. Kama ni swala la mapenzi tafuta njia nyingine. Utakuwa mtumwa !!!
 
Back
Top Bottom