Boss analazimisha wafanyakazi kula chakula na usipo kula unaitishiwa kikao. Kina usalama kweli?

Boss analazimisha wafanyakazi kula chakula na usipo kula unaitishiwa kikao. Kina usalama kweli?

Marcy

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
2,430
Reaction score
5,910
Mkuu wa kitengo ,boss ,msimamizi katika eneo fulani,nk. Anaamua kuleta vyakula vyake na kupikwa na watu wake huko anaowajua ndani ya eneo la kazi na kupakuliwa huko huko.

Nakulazimisha watu wale tena kwa kutuma watu wachunguze kama umekula usipo kula unaitishiwa kikao na jopo la watu kwann hutaki kula eti huna ushirikiano.

Ushirikiano kwenye kula tu jaman sijawahi ona hii mtu aki ng'ang'aniziwa chakula lazima antena ya ubongo ishtuke CHakula cha namna hii kina usalama wandugu?
 
Back
Top Bottom