Boss kukufokea

Boss kukufokea

Umenikumbusha kuna boss alinitesa sana kila akikuta nahudumia demu mzuri lazima anigombeze bila sababu ilimradi demu aone yeye ndo tajiri

Siku moja nilikasirika sana nilisimama kwa hasira bila kusema neno nikawa namsogelea akawa anarudi nyuma kwa uoga nikajua kumbe ni pimbi tu nikaachana nae ila hakurudia tena
[emoji23][emoji23]

Huyo boss fala sana, ilitakiwa akaze alaf ukutie tofa moja ya kichwa

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Ukiishi na mindset hii kuna siku atakushika makalio mbele ya staffs wenzako na hautasema kitu kwa kuwa unaogopa atakufukuza kazi.
Khee akushike na calio? WCF si wapo jamani. Wote tukomeshane tu 😂
 
1705409894567.png
 
Arusha vichaa walianza zamani........
Boss kamfokea supervisor mbele ya umati wa watu......🙄
Watu wakamshauri supervisor wakati wa kutoka mpige mtama/ngwala.....uwanjani mbele za watu.......
Wakati wa kutoka umefika bosi anakatiza uwanjani kwenda kupanda pijo.....jamaa kamjia kwa nyuma..." kata funua".....watu eeeeeerh🤣🤣🤣🤣🤣
Kila boss akinyanyuka anakula mtama watu eeeeeh..🤣🤣🤣🤣
Hata mgambo wa getini hawakumsaidia.
Nimechekaaaa 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom