Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Umenikumbusha kuna boss alinitesa sana kila akikuta nahudumia demu mzuri lazima anigombeze bila sababu ilimradi demu aone yeye ndo tajiri
Siku moja nilikasirika sana nilisimama kwa hasira bila kusema neno nikawa namsogelea akawa anarudi nyuma kwa uoga nikajua kumbe ni pimbi tu nikaachana nae ila hakurudia tena
[emoji23][emoji23][emoji23]Wivu lazima.
Labda alikuwa anakupenda anataka ukambandue jicho.
Alijipima uzito akaona akivimba hatoki atang'olewa meno[emoji23][emoji23]
Huyo boss fala sana, ilitakiwa akaze alaf ukutie tofa moja ya kichwa
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Unatufunza njia rahisi ya kuwa firedUkikaa kimya atakufokea kila siku...
Dawa ni kumpandishia sauti kuliko yeye...hatarudia tena
Utamu wa jf ulipo.. uwa hatusahau vitu vya nyumaKama ndio yule uliemtongoza acha akufokee tu.
Labda uje na ID nyingineUtamu wa jf ulipo.. uwa hatusahau vitu vya nyuma
Mabosi wanapenda kuliwa jicho.[emoji23][emoji23][emoji23]
Maboss bila ya shaka wanapitia uzi huu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Khee akushike na calio? WCF si wapo jamani. Wote tukomeshane tu 😂Ukiishi na mindset hii kuna siku atakushika makalio mbele ya staffs wenzako na hautasema kitu kwa kuwa unaogopa atakufukuza kazi.
Akiwa wa kiume anakuwa kwenye nini?Wakike au mwanaume?
Kama ni wakike msamehe Bure, yupo kwenye menopause
#YNWA
Mpoteze mwenzako..Ukikaa kimya atakufokea kila siku...
Dawa ni kumpandishia sauti kuliko yeye...hatarudia tena
Nimechekaaaa 🤣🤣🤣Arusha vichaa walianza zamani........
Boss kamfokea supervisor mbele ya umati wa watu......🙄
Watu wakamshauri supervisor wakati wa kutoka mpige mtama/ngwala.....uwanjani mbele za watu.......
Wakati wa kutoka umefika bosi anakatiza uwanjani kwenda kupanda pijo.....jamaa kamjia kwa nyuma..." kata funua".....watu eeeeeerh🤣🤣🤣🤣🤣
Kila boss akinyanyuka anakula mtama watu eeeeeh..🤣🤣🤣🤣
Hata mgambo wa getini hawakumsaidia.
Anakuwa kwenye uzee wa maini.Akiwa wa kiume anakuwa kwenye nini?
Ukamdindishie Kanjibhai, kibarua kinaota nyasi saa hiyo hiyo.Iinategemeana na aina ya ofisi/ajira.
Ndio hapo sasa..we acha amsikilizeUkamdindishie Kanjibhai, kibarua kinaota nyasi saa hiyo hiyo.