Boss Lady ''a-update'' kurasa yake ya instagram....

Mkare

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
504
Reaction score
79
Nilikuwa naperuzi mtandao wa instagram dakika sifuri iliyopita na kukutana na picha mpya ya boss lady Jackie Cliff. ..
Sada najiuliza tu sijui jela ana access ya simu au ametoka. Au labda mtu wake wa karibu anajua password yake so kamtuma arushe hyo pic. Au wamesha-hack account yake. Bado sijapata jibu... mwenye taarifa zaidi atujuze
 
Chezeya sembe wewe hata Balozi wetu huko China alishasema hakuna mtu aliyekamatwa anayeitwa jack
 
Chezeya sembe wewe hata Balozi wetu huko China alishasema hakuna mtu aliyekamatwa anayeitwa jack

Wee...kweli!. Sikuisikia hyo... no wonder why vijana hawaogopi. Nimeelewa sasa
 
juxx kasema bawse lady anarudi soon tz...
 
...zaidi ya uijuavyo. Inaelekea tutakuwa na uhusiano mzuri sana na China.

Sawa kabisa, ni uhusiano mzuri sana ila malipo yake ni wale tembo a.k.a. ndovu wanaoteketea kwenye mbuga zetu!!!:sad:
 
Balozi wetu kule China na wauza wa Unga Lao mojaaa,, hata hivyo nilijaribu kumpigia simu rfk wa karbu nikamhuliza vip Jack ameachiwa akaniambia Hapana hajui lolote nasubir badae nimpigie teena Anipe Ukwelii,, mimi mwenyewe nimeshangaa Instagram ka post pcha
 
Hapa sasa wanachofanya vijana wengi wawe macontenner, a.k.a mapunda yaani wabebaji maana sio inshu kabisaa cz unajua ukikamatwa unatoka,.. hii inabidi tuangalie kwa mapana sanaa cz sasa tunaelekea kuwa mexico au zaidi yao..
 
Bongo kuna drama nyingi sana kama yupo uraiani China basi hawakumkamata na unga, China ukamatwe na unga wakuachie! wakati raia wao wenyewe wanawanyonga.
 
Huyo atakuwa ni Jux ndio kapost hiyo pic na ni ya zamani. Huenda ana access na hiyo account ya Jack huko IG.
 
haters wake sijui watakuwa na hali gani!ha haha ha haha.....!
 
Huyo Jux hana akili baada ya kufikiria watafanyaje akipewa bond yeye anataka kuwa "prove" watu kwamba Jacky yuko nje, wachina hawajamuachia bado yuko ndani na anaembebesha sembe na kumpa jeuri anaitwa jordan, wewe Jux acha ushamba Jacky hatoki leo wala kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…