Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
pole myn,am happy to see u again.akirudi bongo wale waliomchamba wakae chonjo .maana masogange karudi tu kashachukua na mjumba wa maana masaki sijui if am nat mistaken
Nini katika hiyo picha kinakufanya useme "ni ya very recently"?
Ntakasi
hivi mnaomtetea jacky mna akili timamu kweli.?
By the way naomba unisaidie MNAUPATAJE HUO U-JASIRI,NA MIMI NINA UHITAJI NISAIDIENI JAMANI..
na ile pic Insta je.........maana inaonekana ni ya very recently
kuna vitu nimeviona ndio maana nikasema hivo....
pole myn,am happy to see u again.akirudi bongo wale waliomchamba wakae chonjo .maana masogange karudi tu kashachukua na mjumba wa maana masaki sijui if am nat mistaken
Sasa tutaanza kuchukua sheria mikononi
Kumbe ulipoachiwa wewe hukupenda? Nenda tena ukamatwe basi ili ufurahi
Ngoja na mie nimbebee Kinje Mzigo this time najua hata nikikamatwa nitatoka salama tu
Hahhhhahhhha Rayc atazimiaaa
Atakuwa bwana wake JUX anatafuta kiki mjini, yaani juzi JUX kaongea kwamba ameongea na kack kwenye skype kamwambia Yuko ok na leo Jack ka update status yake instagram kweli ina make sense, Huyo ni JUX kwa kuwa jack alikuwa mpenzi wake kuna uwezekana 100% anayo password yake, so kaamua ku update status ionekane kama jack yuko nje.. Naona JUX kwakuwa yeye ajasoma ndio anadhani watu wote Awana akili kama yeye....NYAMBAFFFU