Boss Lady ''a-update'' kurasa yake ya instagram....

any updates p'se...!!!?!? Factual.! Evidenced one.
 
Sasa kama unafikiri huu unaweza kuwa ushahidi wa mtu kuto kukamatwa basi umechoka kufikiri.

Jack anaweza kuwa yuko huru lakini huu hauwezi kuwa ushahidi kabisa.

Maana hizi account anaweza akapost mtu mwingine,kuna watu wanaweza kuingilia account za watu na kufanya hivyo.

Kuna watu wake wa karibu wanaweza kuwa na access na hiyo account na kupost.

Cha kujiuliza huyu mtu yuko wapi?mbona hajiyokezi?
 
Bongo kuna drama nyingi sana kama yupo uraiani China basi hawakumkamata na unga, China ukamatwe na unga wakuachie! wakati raia wao wenyewe wanawanyonga.

mbona riz1 aliachiwa?gesi na mafuta yote ni mali ya wachina kwa kukinusuru kichwa cha mwana mfalme.
 

La Kula KFC. Ni deal du natamani chips karai ni fresh kuliko hayo ma KFC. frozen i love my bongo tz
 
njoo nikuunganishe uende china ujue utapata $$ ngapi.
Mkuu pesa unayolipwa itategemeana na Aina ya mzigo uliopakia ni Musharafu,Pele nk....na uzito, na nchi unayopeleka pia..Yani umebebeshe mtu kitu cha pele kwenda China,Italy or Denmark then umlipe 5000usd?? labda kama anapeleka Mombasa tena mpakani Horohoro.
 
Sie wengine madawa tunayasikiaa tu hatujui cha pele wala niniiii
 
Sawa kabisa, ni uhusiano mzuri sana ila malipo yake ni wale tembo a.k.a. ndovu wanaoteketea kwenye mbuga zetu!!!:sad:

Usisahau na GESI......sasa hivi TZ tumekuwa lulu kwa wachina, so kukiwa na ishu wanampigia muheshimiwa simu kabla hawajachukua hatua........MZEE TUNAKUSIKILIZA.....

Nakumbuka stori moja ya kitambo....kuna mpishi wa hoteli alifumwa na bosi wake ameiba kuku....jamaa jasho lilimtoka...bosi akamwambia usiogope sitokufukuza kazi...ila kilichokuwa kinatokea ni kila wakati bosi alipohitaji mtu wa overtime bila malipo alikuwa anamuita jamaa......na pale jamaa akianza tu kukunja uso alimwambia....DO YOU REMEMBER THE CHICKEN..?

Ndio tulipofikia....jamaa wakituambia tunaomba tenda ya kupanga miji wanainchi wetu wawe busy......jamaa akianza kukunja uso na kujitetea...mbona hata sisi tuna wataalamu wetu.... Xi ping anamwambia...DO YOU REMEMBER JACK.......(sio jack chan)
 

Ha ha haaaa... kwa kweli. Kazi tunayo. Still love my country though
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…