Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongo kuna drama nyingi sana kama yupo uraiani China basi hawakumkamata na unga, China ukamatwe na unga wakuachie! wakati raia wao wenyewe wanawanyonga.
Cha Pele ni noma kudondoka nacho bongo tu ni ishu......kitu cha musharafu ni vumbi lazma ukate ring....madam wao wema sepetu atleast amekomaa na cha pele
Wema Sepetu,Jackie Cliff..
Unapokuwa na watu kama hawa halafu wana ushawishi mkubwa kwenye jamii yetu hasa kwa wasichana wadogo wanaokuwa ni hatari!
Napitia thread ya hii picha aisee kuna watu wanamtetea bila aibu halafu wengi wao usernames zao unagundua they are totally obsessed with this type of a life style!
Maisha ya kununua pochi laki mbili,kula kila siku KFC,kuhakikisha kila toleo la galaxy unalo..
Narudia ni hatari!
Hii shortcut mbaya sana!
Mkuu pesa unayolipwa itategemeana na Aina ya mzigo uliopakia ni Musharafu,Pele nk....na uzito, na nchi unayopeleka pia..Yani umebebeshe mtu kitu cha pele kwenda China,Italy or Denmark then umlipe 5000usd?? labda kama anapeleka Mombasa tena mpakani Horohoro.njoo nikuunganishe uende china ujue utapata $$ ngapi.
Sawa kabisa, ni uhusiano mzuri sana ila malipo yake ni wale tembo a.k.a. ndovu wanaoteketea kwenye mbuga zetu!!!:sad:
Usisahau na GESI......sasa hivi TZ tumekuwa lulu kwa wachina, so kukiwa na ishu wanampigia muheshimiwa simu kabla hawajachukua hatua........MZEE TUNAKUSIKILIZA.....
Nakumbuka stori moja ya kitambo....kuna mpishi wa hoteli alifumwa na bosi wake ameiba kuku....jamaa jasho lilimtoka...bosi akamwambia usiogope sitokufukuza kazi...ila kilichokuwa kinatokea ni kila wakati bosi alipohitaji mtu wa overtime bila malipo alikuwa anamuita jamaa......na pale jamaa akianza tu kukunja uso alimwambia....DO YOU REMEMBER THE CHICKEN..?
Ndio tulipofikia....jamaa wakituambia tunaomba tenda ya kupanga miji wanainchi wetu wawe busy......jamaa akianza kukunja uso na kujitetea...mbona hata sisi tuna wataalamu wetu.... Xi ping anamwambia...DO YOU REMEMBER JACK.......(sio jack chan)
Alisemaa anyongwe kabisaa Jack
Sie wengine madawa tunayasikiaa tu hatujui cha pele wala niniiii