Boss ondoka ulipo kwa utulivu na usalama wako ni ushauri tu nakupatia

Boss ondoka ulipo kwa utulivu na usalama wako ni ushauri tu nakupatia

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Boss kama utaweza kuzingatia ushauri itakua vyema kwa usalama na utulivu wako na familia kwa ujumla ondoka ulipo nenda sehemu yenye utulivu na amani.

Kwa sasa mahakama ni mikono yao jaribu kuiepuka kama inawezekana ni ushauri tu nakupatia.

Boss wakikuonya huwa wana maanisha kuwa you are next hawatanii kweli mikono yao imekosa utu tena.

Kuna bwana wadogo walionywa humu na kwa yule boss wa Tesla hawakuondoka walipo yaliyotokea nafikiri boss unajua.

Kama walivyosema boss kuwa wakikupata utasahulika baada ya mwezi ni ukweli 100% hawa wanaokufariji sasa watakuwa wa kwanza kukusahau ndani ya wiki tu ndivyo walivyo watoto wa mchonga meno ni wanafiki sana.

Boss kwa utulivu na usalama wako na familia ondoka kwa muda mpaka pale mambo yatakapokuwa sawa kama bado upo.
 
Basi tu huu utawala hauku paswa kufika hapa maana mwanzo wake ulikua nikuponya majeraha, maridhiano, masahihisho na mwanzo mpya mzuri .

Ila bahati mbaya madaraka huwenda ni matamu sana na yanalevya ndio maana tumeweza kufikia hapa!

Naunga mkono hoja , aiyumkini hali si shwari heri mkuu ajitenge kidogo kwa muda , hii hata kimaandiko ipo , paul mtume aliwahi kujificha kwenye kikapu na hata kukimbia ingawa alikua ni mtu mueneza imani na aliye kuwa tayari kuifia ila kwa wakati sahihi.

Boss anahitajika sana katika taifa hilo si leo tu hata kesho na kesho kutwa.
 
Nyumbu hawana ushirikiano kabisa Mdude wakati anapiga spana wanamwambia tuko nyuma yako ila mwamba kapotea Nyumbu wamemsahau hata kuandamana kwaajili ya Mdude Nyangali hawawezi
 
Ndio, mamlaka imepoteza hekima kabisa na inatenda sawasawa na ufalme uliokua ukitawala kipindi Yesu amezaliwa...,

Mungu mwenyewe alimtokea Yusuph kumtaka atoroke akiwa na mtoto pamoja na mama Maria wakajifiche mpaka watakapojulishwa.
 
Lakini tuliambia ana usajili gormahia na ofisi zake zpo kule zile zapale mikocheni kwa yanga nitboshen tu.sijajua ukweli wenyewe
 
Boss kama utaweza kuzingatia ushauri itakua vyema kwa usalama na utulivu wako na familia kwa ujumla ondoka ulipo nenda sehemu yenye utulivu na amani.

Kwa sasa mahakama ni mikono yao jaribu kuiepuka kama inawezekana ni ushauri tu nakupatia.

Boss wakikuonya huwa wana maanisha kuwa you are next hawatanii kweli mikono yao imekosa utu tena.

Kuna bwana wadogo walionywa humu na kwa yule boss wa Tesla hawakuondoka walipo yaliyotokea nafikiri boss unajua.

Kama walivyosema boss kuwa wakikupata utasahulika baada ya mwezi ni ukweli 100% hawa wanaokufariji sasa watakuwa wa kwanza kukusahau ndani ya wiki tu ndivyo walivyo watoto wa mchonga meno ni wanafiki sana.

Boss kwa utulivu na usalama wako na familia ondoka kwa muda mpaka pale mambo yatakapokuwa sawa kama bado upo.
Boss wa jf au boss gani tena. Hakika mmeweza kuwatia watanzania hofu, kila mtu sasa anaogopa coz ukikosea tu kitakachokupata ni hadithi kwa vizazi vijavyo.
 
Wataondoa wote tutanyamaza, lakini siyo huyu Mkulungwa wetu wa JamiiForums, hiyo haiwezekani kunawatu hatuna vijiwe zaidi ya hiki, KITAUMANA...
 
Back
Top Bottom