Boss kama utaweza kuzingatia ushauri itakua vyema kwa usalama na utulivu wako na familia kwa ujumla ondoka ulipo nenda sehemu yenye utulivu na amani.
Kwa sasa mahakama ni mikono yao jaribu kuiepuka kama inawezekana ni ushauri tu nakupatia.
Boss wakikuonya huwa wana maanisha kuwa you are next hawatanii kweli mikono yao imekosa utu tena.
Kuna bwana wadogo walionywa humu na kwa yule boss wa Tesla hawakuondoka walipo yaliyotokea nafikiri boss unajua.
Kama walivyosema boss kuwa wakikupata utasahulika baada ya mwezi ni ukweli 100% hawa wanaokufariji sasa watakuwa wa kwanza kukusahau ndani ya wiki tu ndivyo walivyo watoto wa mchonga meno ni wanafiki sana.
Boss kwa utulivu na usalama wako na familia ondoka kwa muda mpaka pale mambo yatakapokuwa sawa kama bado upo.