Boss ondoka ulipo kwa utulivu na usalama wako ni ushauri tu nakupatia

Lakini tuliambia ana usajili gormahia na ofisi zake zpo kule zile zapale mikocheni kwa yanga nitboshen tu.sijajua ukweli wenyewe
Ofisi ziko Lakers, Arsenal na Gormahia.
Yanga na Simba ni administration block tu.
 
Jmn sasa kosa lake hada ni nini?
 
Ila nyie Zengeli mnamchukulia powa powa kasurvive yule jamaa kama mjeshi wa Marikani ndani ya uwanja wa mapambano Vietnam sio poa yule
 
Ma keybord worrior katika peek yetu,
 
Boss usiwepo kwa sasa wanakuwinda ujae kwenye mfumo wafanye yao.
 
Nyumbu hawana ushirikiano kabisa Mdude wakati anapiga spana wanamwambia tuko nyuma yako ila mwamba kapotea Nyumbu wamemsahau hata kuandamana kwaajili ya Mdude Nyangali hawawezi
Ulitaka nani aanze kuandamana?
 
Boss usiwepo kwa sasa wanakuwinda ujae kwenye mfumo wafanye yao.
Kweli aisee, misukosuko aliyoipata boss kipindi kile ni chamtoto, sasa hivi wamekuwa hatari mara mia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…