Boss Saalah wa Silent Ocean, wana Simba SC tunajua mchanganuo wa ahadi yako ya milioni 30 kama Tanzania Prisons ikiifunga Simba SC Ijumaa

Kwahiyo unataka kusema ile mechi amabazo Prisons waliahidiwa mil 10 endapo ingetoka sare na Yanga, wangetoa sare wasingepewa hizo milioni 10?
Huyo Silent Ocean ni tapeli tu kama walivyo GSM, adui yao ni Simba SC, wao kutoa pesa kwa timu nyingine ili Yanga afungwe ni usanii tu, wameona aibu ya mchezo wao kushtukiwa sasa wanajikweza tu.
 
Sasa ikawaje wewe hata hukupendekezwa kupigiwa kura? Acha wivu mama mdogo
Waambie Natural Charm yangu na Mimi Kiasili kuwa this Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer kutawatesa sana tu.

Waambie GENTAMYCINE nawaomba Members wote Wanaonichukia hapa wauombe Uongozi wa JamiiForums watushindanishe katika Shindano lolote lile na nawahakikishia NItashinda na hawatoamini.

Najua Mungu kanibariki na vingi mno.

Cc: Unavoidable Servant
 
uongo hautakupeleka kokote,sana sana utaaibika tu
 
Aisee!
 
Kama alivyocheza leo
 
Hatimaye umekula tena umeme!! Yaani hata wiki sijui kama umemaliza!! Kazi kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…