+_ha haa haaa mkuu kwani mambo ya umiliki wa JF yamekujaje, kwani me nimekataza mtu kukomenti?
+me nimeshangaa bure tu kama wasangaaji wengine, kwani kushangaa shi ngapi?
+Huyu mchawi ni noma anamkimbiza Davido aisee! sasa hivi wamefikia 800k
Mhuu
Huwa unatetea hata mashudu.
Bora mashudu lakini, kuliko pumba.
Aiseeee......
Huu uzi mbona member mnakua wakali sana!?
Aaache ushirikina mxiuu mtoto mdogo mchawi roho,yani watu ambao hawajaenda shule wanapenda sana ushirikina na ipo siku mungu atawaumbua mbwa hawa
Unashangaa vitu visivopaswa kushangaa.
Watu watachangia popote kama ambavyo nyie huwa mnachangia popote mnapojisikia!.
Ukiona mtu hajachangia ujue hajaona haja ya kufanya ivo.
Tofauti na watu ambao kazi yao kuchangia kila kitu kama wajinga tu.
+ yoyote mwenye mbio!Kwani ukiwa mchawi unapaswa umkimbize nani?
Fisi?
+Huyu mchawi ni noma anamkimbiza Davido aisee! sasa hivi wamefikia 800k
cute b mambo! NduguMamaaaaaaa weeeeeeeeeeee.
Kweli uchawi hoyeeeeeeeeee......
yaaan pona ya domo ni ukute yeye hajajihusisha kwenye ushirikina maana kisicho rizki hakiliki. Hamna lenye mwanzo lisilo na mwisho.
Oyooooooo watashindana lakini hawatashinda walokole kolezeni maombiii wajitaje wote kwi kwi kwiiiiiiii.
+hapo sasa Mkuu, na wenyewe wanaungana kua wachawi ha haa haaHahaah sasa eti mkuu hivi unaanzaje kumchukia MTU mwenye followers 800k kama wewe so mshirikina au mchawi nini basi? Hahaha huwa nawaza haya SAA nyingine halafu naishia kucheka tu .
cute b mambo! Ndugu
cute b waambieni man u babu tale ni agent wa kalumanzila hahahahahPoa vipi mkuu? Nipo njiani naenda kuloga aisee huu ni mwaka wangu wa kutoboa kimataifa nitalala ata na baba yangu aisee kumbe ni dili eee hahahaaaa
Poa vipi mkuu? Nipo njiani naenda kuloga aisee huu ni mwaka wangu wa kutoboa kimataifa nitalala ata na baba yangu aisee kumbe ni dili eee hahahaaaa
cute b waambieni man u babu tale ni agent wa kalumanzila hahahahah
Poa vipi mkuu? Nipo njiani naenda kuloga aisee huu ni mwaka wangu wa kutoboa kimataifa nitalala ata na baba yangu aisee kumbe ni dili eee hahahaaaa
Uwanga uwanga!
Uchawi kuzika kuku na mbuzi!
Manyau nyau...
Ptuuu aibuuu
Hahaaaaaa safari njema ma dia we lala hata na babu yako ili mradi utoe ozone ila ukikosea masharti usianze kulia. All the best.