Boss wa Diamond akubali kushiriki kwenye ushirikina

sasa diamond ndo mwenye mafanikio katika wasanii wote hao ulio wataja ndo maana watu wanamuongelea ila babu tale siku zote ni najua ni kilaza
Teh teh babu tale anawasanii wengi tu yamoto band, temba, chege lakini cha ajabu anahusishwa diamond peke yake wabongo bhana ingekuwa uchawi unasaidia wasanii kiasi hicho basi hakuna haja za kufanya kazi kwa bidii na ubunifu wa kutosha, hakuna jipya hapa hata psquare waliambiwa wamemtoa mama yao kafara kisa wanafanikiwa
 
babu tale hajui kujielezea hata ukiangalia interview yake na millard ayo anaongea pumba sana hadi nikashangaa yani ila wote hawajielewi mamanager wa diamond ila tale kazidi
 
Mameneja wake ni Said Fella,Babu Tale. Wote wanaamini bila mganga huwezi toboa... Kwani na yeye asiloge. Muda tuu ukifika kila kitu kitafahamika tuu.
 
unajua diamond watu walikuwa na shaka nae zamani saana toka alivyovua nguo kwenye stage na sasa hivi watu wana wasiwasi na miwani na kile kitambaa cha kichwani anapenda sana kuvivaa sio usiku wala mchana
 
Hii nitaijibu hivi Babu Tale siyo Diamond. Babu Tale ana mke na watoto wakati Diamond hana mke ingawa anategemea kupata mtoto. Babu Tale siyo mwimbaji wakati Diamond ni mwimbaji. Nadhani tofauti baia yao ziko wazi sana; mambo ya Babu Tale siyo ya Diamond na vice versa.
 
Humu kuna watu ni wachawi Tale haoni ndani nyuzi zinaongelea mafanikio ya Mondi hawasogei ila hili la kumchafua watu wamejazana hasa wale wa team stress kama wameitwa hii ni aibu kushadadia upuuuzi.
 
Leo katika XXL ya Clouds fm Babu Tale ambaye ni meneja wa Diamond amekubali kuwa huwa anashiriki katika masuala ya kishirikina.

Hali ambayo imeleta mjadala kuwa yawezekana huwa anaenda kwa waganga kwaajili ya kumsaidia msanii wake Diamond.
Kwa hiyo dawa za huyo mganga kwa akina madee zinadunda lakini kwa Diamond ndo zinafanya kazi, au?
 
MMh ebu usitufanye watoto apa, kwa hyo na wewe unajifanya hujaelewa?? Diamond mshirikina toka zamani, we waache tu ipo siku yatamkuta, ata ajulikane dunia nzima ila mwisho wake sio mzuri, mtoto mdogo anakuwa mchawi, yani babu tale katufungua macho
Mpwa, nyie wasomi watoto wa Mbezi Beach kumbe mnaamini kwamba uchawi unaweza kumfanya mtu afanikiwe? Sie huku Uswahilini na Uswahili wetu wote hatuwezi kuamini upumbavu kama huo lakini leo nashangaa wale wale watoto wa kishua, waliosomea ng'ambo kumbe ni miogoni mwa watu wanaoamini uchawi unaweza kumsaidia mtu!!!
 
Mhh wewe inaelekea diamond akikwambia umnyonye dudu utakubali, sio shobo hizi, baba yako aliyekuzaa unamshobokeaga namna hii? Ndomo ana mke anaitwa zari ooh shauri zenu nafasi imejaa
Halafu Mpwa mbona unapenda sana kashifa za aina hii? Mie siku moja ilibidi nimuombe Mungu tu anilinde ili tusitoleane lugha zisizofaa humu jamvini pale uliponiambia kauli kama hiyo! Hivi humu jamvini kuna wasanii wangapi unawashabikia? Mbona watu hawakuambii kauli za maudhi kama hizo? Nenda kule jukwaa la michezo uone watu wanavyowashabikia akina Ronaldo, Messi n.k... unatak kusema wote wale wanaweza kufi'rwa na hao akina Ronaldo? Yaani mpwa wakati mwingine mtu akikusoma anaamini kabisa kwamba huyu jamaa mjanja lakini comment zako zingine utafikiri umetoka kijijini kwenu leo! Hivi ni ajabu kwenye tasnia ya burudani kuona wanaume wanawashabikia wanaume wenzao? Yaani wewe upo tayari kuona mwanaume anamshabikia mwanaume mwingine yeyote yule lakini akimshabikia Diamond tu, kwako inakuwa nongwa? Hivi alikufanya nini huyu jamaa hadi kila uone anayemshabikia basi anaweza kuwa tayari kufi'rwa na huyo Diamond? Sasa kama mtu mkun'du wa kwake, hata akiwa tayari kufi'rwa wewe inakuuma au inakuhusu nini? Mpwa, mwezi mtukufu huu, hata kama wewe huamini katika hilo, jitahidi kuwa na staa manake hufahamu imani za wengine humu jamvini kwahiyo usije ukawaingiza wenzako majaribuni bila sababu za msingi... heri basi mtu angekuwa amekutukana lakini unaibuka tu from nowhere unaanza kumtolea lugha chafu namna hiyo? Bora huyo mtu awe mwanamke, je kama mwanaume mwenzako?

Anyway, nakuambia haya kwa kuwa nakuona wangu lakini ingekuwa mwingine wala nisingejisumbua! Ukitaka chukua ushauri wangu au acha lakini ufahamu tu kwamba, kutokana na tabia yako ya kupenda kujichanganya humu jamvini, wengine tunakuheshimu ndo maana, ingawaje kwa kawaida huwa sikopeshi mtu akinizingua, mara zote wewe unaponizingua huwa najitahidi kuvumilia... don't take away that respect.
 
Mpwa, nyie wasomi watoto wa Mbezi Beach kumbe mnaamini kwamba uchawi unaweza kumfanya mtu afanikiwe? Sie huku Uswahilini na Uswahili wetu wote hatuwezi kuamini upumbavu kama huo lakini leo nashangaa wale wale watoto wa kishua, waliosomea ng'ambo kumbe ni miogoni mwa watu wanaoamini uchawi unaweza kumsaidia mtu!!!

NYie waswahili wachawi sana nyie, tena wa kuogopwa, elimu zero akili zero mtafanya nini zaidi ya kuroga?, ila mungu atawaumbua soon, nyie waswahili kwa uchawi mxiuuui ndio maana mkizaliwa tu mnavalishwa hirizi yan nyie mna laana
 
Halafu Mpwa mbona unapenda sana kashifa za aina hii? Mie siku moja ilibidi nimuombe Mungu tu anilinde ili tusitoleane lugha zisizofaa humu jamvini pale uliponiambia kauli kama hiyo! Hivi humu jamvini kuna wasanii wangapi unawashabikia? Mbona watu hawakuambii kauli za maudhi kama hizo? Nenda kule jukwaa la michezo uone watu wanavyowashabikia akina Ronaldo, Messi n.k... unatak kusema wote wale wanaweza kufi'rwa na hao akina Ronaldo? Yaani mpwa wakati mwingine mtu akikusoma anaamini kabisa kwamba huyu jamaa mjanja lakini comment zako zingine utafikiri umetoka kijijini kwenu leo! Hivi ni ajabu kwenye tasnia ya burudani kuona wanaume wanawashabikia wanaume wenzao? Yaani wewe upo tayari kuona mwanaume anamshabikia mwanaume mwingine yeyote yule lakini akimshabikia Diamond tu, kwako inakuwa nongwa? Hivi alikufanya nini huyu jamaa hadi kila uone anayemshabikia basi anaweza kuwa tayari kufi'rwa na huyo Diamond? Sasa kama mtu mkun'du wa kwake, hata akiwa tayari kufi'rwa wewe inakuuma au inakuhusu nini? Mpwa, mwezi mtukufu huu, hata kama wewe huamini katika hilo, jitahidi kuwa na staa manake hufahamu imani za wengine humu jamvini kwahiyo usije ukawaingiza wenzako majaribuni bila sababu za msingi... heri basi mtu angekuwa amekutukana lakini unaibuka tu from nowhere unaanza kumtolea lugha chafu namna hiyo? Bora huyo mtu awe mwanamke, je kama mwanaume mwenzako?

Anyway, nakuambia haya kwa kuwa nakuona wangu lakini ingekuwa mwingine wala nisingejisumbua! Ukitaka chukua ushauri wangu au acha lakini ufahamu tu kwamba, kutokana na tabia yako ya kupenda kujichanganya humu jamvini, wengine tunakuheshimu ndo maana, ingawaje kwa kawaida huwa sikopeshi mtu akinizingua, mara zote wewe unaponizingua huwa najitahidi kuvumilia... don't take away that respect.

MH mpwa nae umeanza na magazeti yako
 
Chekecha imeshachuja hahahah HABARI ya mjini ushirikina wa babu tale kisa tu manager wa dai ...sasa angekuwa manager wa "bushman doppelganger " ungeona defensive mechanism ya ajabu inayotokana na Akili kucheketulia mpaka kuwa mento hahaha

King anasikitisha.

Mondi bin ladeni anatisha.

#nyakatizakuumiawataniwetu .

#ukijamotonakurudishabarida

Cheketua imebuma kwani ile technique ya kuruka ukuta haijafanya kazi?
 
Asilimia kubwa wasanii wa Bongo flavor wanatumia ndumba.
 
Back
Top Bottom