warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Tale humu mbona mie nishawahi kumzungumzia kitambo na ndio maana mtu kama mimi wala hanisumbui akili coz' najua ni mropokaji! Kwanza kwa ufupi, wasanii wengi ni washirikina, tena sana tu lakini wala siamini kwamba ushirikina unaweza kumpaisha mtu unless kama tunataka kuamini kwamba hata akina Nick Minaj nao ni washirikina! Ingekuwa ushirikina unamwezesha mtu, Waafrika tungekuwa mbele kwa kila kitu manake, kwenye mpira ushirikina, lakini Afrika ndo ya mwisho; kwenye filamu full ushirikina, lakini wala hatumo kwenye ramani ya watengeneza filamu bora duniani... hata nyanya tunauza kwa ushirikina lakini bado kwanza tunaongoza kwa umaskini! Hakuna mchawi mkubwa duniani zaidi ya pesa, haya mambo mengine ni upuuzi tu!
Mhh, hali inatisha, nimeanza kumuogopa diamond sasa