Halafu Mpwa mbona unapenda sana kashifa za aina hii? Mie siku moja ilibidi nimuombe Mungu tu anilinde ili tusitoleane lugha zisizofaa humu jamvini pale uliponiambia kauli kama hiyo! Hivi humu jamvini kuna wasanii wangapi unawashabikia? Mbona watu hawakuambii kauli za maudhi kama hizo? Nenda kule jukwaa la michezo uone watu wanavyowashabikia akina Ronaldo, Messi n.k... unatak kusema wote wale wanaweza kufi'rwa na hao akina Ronaldo? Yaani mpwa wakati mwingine mtu akikusoma anaamini kabisa kwamba huyu jamaa mjanja lakini comment zako zingine utafikiri umetoka kijijini kwenu leo! Hivi ni ajabu kwenye tasnia ya burudani kuona wanaume wanawashabikia wanaume wenzao? Yaani wewe upo tayari kuona mwanaume anamshabikia mwanaume mwingine yeyote yule lakini akimshabikia Diamond tu, kwako inakuwa nongwa? Hivi alikufanya nini huyu jamaa hadi kila uone anayemshabikia basi anaweza kuwa tayari kufi'rwa na huyo Diamond? Sasa kama mtu mkun'du wa kwake, hata akiwa tayari kufi'rwa wewe inakuuma au inakuhusu nini? Mpwa, mwezi mtukufu huu, hata kama wewe huamini katika hilo, jitahidi kuwa na staa manake hufahamu imani za wengine humu jamvini kwahiyo usije ukawaingiza wenzako majaribuni bila sababu za msingi... heri basi mtu angekuwa amekutukana lakini unaibuka tu from nowhere unaanza kumtolea lugha chafu namna hiyo? Bora huyo mtu awe mwanamke, je kama mwanaume mwenzako?
Anyway, nakuambia haya kwa kuwa nakuona wangu lakini ingekuwa mwingine wala nisingejisumbua! Ukitaka chukua ushauri wangu au acha lakini ufahamu tu kwamba, kutokana na tabia yako ya kupenda kujichanganya humu jamvini, wengine tunakuheshimu ndo maana, ingawaje kwa kawaida huwa sikopeshi mtu akinizingua, mara zote wewe unaponizingua huwa najitahidi kuvumilia... don't take away that respect.