Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
+_ha haa haaa mkuu kwani mambo ya umiliki wa JF yamekujaje, kwani me nimekataza mtu kukomenti?
+me nimeshangaa bure tu kama wasangaaji wengine, kwani kushangaa shi ngapi?
Unashangaa vitu visivopaswa kushangaa.
Watu watachangia popote kama ambavyo nyie huwa mnachangia popote mnapojisikia!.
Ukiona mtu hajachangia ujue hajaona haja ya kufanya ivo.
Tofauti na watu ambao kazi yao kuchangia kila kitu kama wajinga tu.