Boss wa Diamond akubali kushiriki kwenye ushirikina

Boss wa Diamond akubali kushiriki kwenye ushirikina

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,610
Leo katika XXL ya Clouds fm Babu Tale ambaye ni meneja wa Diamond amekubali kuwa huwa anashiriki katika masuala ya kishirikina.

Hali ambayo imeleta mjadala kuwa yawezekana huwa anaenda kwa waganga kwaajili ya kumsaidia msanii wake Diamond.
 
ameulizwa ana amini uchawi kama upo kasema ndio

kaulizwa anashiriki kasema anashiriki yeye ni mwafrika na mtu wa morogoro so huwa ana enda kwa mganga kwa ajili ya mambo yke binafsi kama kupata tiba!

Hii haihusiani na diamond....!!
 
Chinga One
Je wadhani ataweza enda kwa ajili ya tiba zake tu asihusishe biashara zake?

Kwa upande wa diamond nae kaulizwa kuwa kama ana amini uchawi kasema kama uchawi una tajwa kwenye vitabu vya dini basi hupaswi kuuamini coz utakua una mkosea Mungu kwa sababu inapaswa kumuani yeye pekee.

kasema japokua tale ni meneja wake but ni kikazi na sio mambo binafsi kama yeye ana amini uchawi basi ni yeye na hawezi kumsemea!
 
Last edited by a moderator:
ameulizwa ana amini uchawi kama upo kasema ndio

kaulizwa anashiriki kasema anashiriki yeye ni mwafrika na mtu wa morogoro so huwa ana enda kwa mganga kwa ajili ya mambo yke binafsi kama kupata tiba!

Hii haihusiani na diamond....!!

Mmmh!!! Cc Yericko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
Kama nmemwelewa tale n kwamba kajarb kuhusisha mazngra tunayoish apa afrca na swala zma la uchaw ni kwel kwa maana yake yy ya uchaw n kwel hauepikk japo hata kwa mtu kutumia bila kujijua ndo mana akatoa mfano watoto wanapofungwa vikamba vyeuc vile mkononi ni iman za kishrkina ila nia n kinga..
 
Kwa upande wa diamond nae kaulizwa kuwa kama ana amini uchawi kasema kama uchawi una tajwa kwenye vitabu vya dini basi hupaswi kuuamini coz utakua una mkosea Mungu kwa sababu inapaswa kumuani yeye pekee.

kasema japokua tale ni meneja wake but ni kikazi na sio mambo binafsi kama yeye ana amini uchawi basi ni yeye na hawezi kumsemea!

MMh ebu usitufanye watoto apa, kwa hyo na wewe unajifanya hujaelewa?? Diamond mshirikina toka zamani, we waache tu ipo siku yatamkuta, ata ajulikane dunia nzima ila mwisho wake sio mzuri, mtoto mdogo anakuwa mchawi, yani babu tale katufungua macho
 
Mhh huyo babu tale elimu yake ipoje? Hyo kauli yake ni kama mtu ambaye hajaenda shule na hajui psychology vzur, mimi nimemsikiliza, yani anaona ushirikina kwake ni kitu cha kawaida sana, yani ina maanisha yeye anafanya sana uchawi ndio maana hashtuki, kama yeye anafanya ushirikina ni ngumu kusema diamond hafanyi wakati yeye ndio manager wake ,that means anampa mbinu mbali mbali za biashara ikiwemo ushirikina, ipo siku mungu atawachapa waache wafanye wanayojua
 
Kila mtu anajua ushoga upo, ila unaposema hadharani kuwa ushoga ni kitu cha kawaida tu watu watakuchukuliaje? Tale naona alikurupuka sana, kashamuaribia mwenzie CV yake, na ndio maana nataka kujua elimu yake, maana communication skills yake ni zero, mtu huwezi ukaw una mmanage msanii mkubwa kama domo then useme kuhus ushirikina, kamuaribia sana mwenzie sifa, at kama kweli hafanyi, tale hana elimu kama anayo basi ya kununua vyeti
 
Diamond apo awali aliwahi kuhusishwa na ushirikina, walisema sijui kalala na mama ake ,sasa tetesi za namna hii na kauli ya tale leo inaleta picha mbaya, kama Mungu akiamua kukubaliki utabarikiwa tu, ila kama umeamua kufanya ushirikina mwisho wake upo yetu macho
 
Mhh huyo babu tale elimu yake ipoje? Hyo kauli yake ni kama mtu ambaye hajaenda shule na hajui psychology vzur, mimi nimemsikiliza, yani anaona ushirikina kwake ni kitu cha kawaida sana, yani ina maanisha yeye anafanya sana uchawi ndio maana hashtuki, kama yeye anafanya ushirikina ni ngumu kusema diamond hafanyi wakati yeye ndio manager wake ,that means anampa mbinu mbali mbali za biashara ikiwemo ushirikina, ipo siku mungu atawachapa waache wafanye wanayojua

Uko sahihi..
 
,diamond apo awali aliwahi kuhusishwa na ushirikina, walisema sijui kalala na mama ake ,sasa tetesi za namna hii na kauli ya tale leo inaleta picha mbaya, kama Mungu akiamua kukubaliki utabarikiwa tu, ila kama umeamua kufanya ushirikina mwisho wake upo yetu macho

you are right.
 
Nanukuu..

""sijawahi kuwa na sina bifu na alikiba""

""kila mtu anahaki ya kumchagua amtakae, uzalendo haununuliwi bali unatoka moyoni kwa mtu husika, kama unampigia davido au yeyote yule ni haki yako lakini kama unaona tuzo inafaa ije bongo nipigie""

""Nadhani mabishano ya mashabiki juu yetu sisi kwa sisi hayawezi kutupeleka popote, imefika wakati wafananishe wanamuziki wetu na davido, wizkid etc. ""

""unapoamini masuala ya ushirikina unamkosea mwenyezi Mungu, sina imani juu ya mambo hayo, ña mimi anachoamini babu tale siwezi sema nimzuie, kila mtu anahaki ya kuamini anachokiamini""

""Nguvu za wanaonichukia na kupiga kura kwa davido, ni bora pia wangetumia nguvu hiyo kuwapa support zaidi wasanii wetu,, mwakani tuwe na wawakilishi zaidi ya wawili""

""Huwa simtozi mtu pesa yeyote kwenye collable, na wala sijawahi tozwa... Nimefanya collable karibu na A list wote wa Afrika, nyimbo nyingi zipo tayari baadhi tu zinasubiri wakati wake kufanya video shoot, hata hivyo haziwezi kuachiwa achiwa tu, sababu tunataka kila mwaka mziki wetu uwepo kwenye chati kubwa za muziki""

baadhi ya alivyoongea president wa wasaaaaaaaaafi.... Mr. Icon
 
So because Tale was open about his beliefs watu naona moja kwa moja mnamlink na Diamond. Hapa ndio huwa ufinyu wetu wa akili unapodhihirika. How many of you here actually believe in Witchcraft? Nani hapa anaamini unaeza ukalogwa kabisa mambo yako yakashindikana au ukalogwa ufe na ukafa kikweli? Diamond ni mshirikina, oh yeah alipokua anauza mitumba all those years hizo ndumba zilikua hazifanyi kazi? If his success is down to witchcraft, vijana walivyo na tamaa Tanzania leo hii washindwe nini kumiminika kwa witch doctors? Kuwenu mnafikiria before accusing people.

Actually it looks like what Tale actually meant is he believes in traditional medicine and healing. I don't think he meant eti yeye anaamini witchcraft and that he goes to waganga kuchawia.

Aisee mtoto wa watu kaandika nyimbo zake, katoa miziki yake imependwa na watu and he then used the opportunity to make himself a brand. Mtamsingizia kalala na mama yake, sijui kalala na paka but hey it doesn't make it true.
 
Babu tale atakuwa anamiliki charms balaa..!
 
Back
Top Bottom