Boss wa GSM tajiri asie na maneno amfanyia mkewe birthday party nyumbani, haya ndiyo yaliyojiri

Boss wa GSM tajiri asie na maneno amfanyia mkewe birthday party nyumbani, haya ndiyo yaliyojiri

R-K-O

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2023
Posts
482
Reaction score
2,178
sikukuu ya kuzaliwa MKE wa Tajiri wa makampuni ya GSM na Mdahamini Mkuu wa Klabu ya Yanga

Birthday iilihudhuriwa na wanafamilia / ndugu wa karibu.

Maua ni mengi sana yenye kuvutia, itakuwa yaliletwa na kontena mbili

zawadi zenye brand kubwa na orignal, mambo ya christian Dior, dolce & Gabbana, Gucci.

Upande wa burudani zilipigwa fataki, wasanii Jux na Ommy walitoa burudani.




Tajiri wa Wananchi afanya yake, Mo atayaweza-.mp4-00_00_15-00005.png



Tajiri wa Wananchi afanya yake, Mo atayaweza-.mp4-00_00_52-00014.png


Tajiri wa Wananchi afanya yake, Mo atayaweza-.mp4-00_01_17-00016.png
 
Hawo viumbe hata nikiwaona tu nakuwa na hasira!!

Yani waoane wenyewe, wapendane na washirikiane afu wewe uchukie?

Wewe ukialikwa kwenye harusi za wamatumbi wenzako unasema hutaki michango mara hupendi harusi na sikuhizi vijana wa hovyo mnajiita introverts mnasema hampendi watu as if ni sifa ila harusi za waarabu unashoboka, unatafuta white approval? Watakuoa na wewe endelea kushoboka.

Nyie mmekatazwa kuoana wenyewe kwa wenyewe na kushirikiana? Umewahi kusikia wao wakilalamika hamjawaalika au mmewagomea kuoa ndugu zenu? Charity begins at home kitu ambacho wamatumbi hamkijui hadi leo. Nyie endeleeni kuamini ndugu zenu ndo wachawi wenu muone kama mtafika popote.
 
Back
Top Bottom