Boss wa GSM tajiri asie na maneno amfanyia mkewe birthday party nyumbani, haya ndiyo yaliyojiri

Boss wa GSM tajiri asie na maneno amfanyia mkewe birthday party nyumbani, haya ndiyo yaliyojiri

sikukuu ya kuzaliwa MKE wa Tajiri wa makampuni ya GSM na Mdahamini Mkuu wa Klabu ya Yanga

Birthday party ilimhusu mke wake pamoja na wanafamilia / ndugu wa karibu.

Maua ya kutosha, itakuwa yaliletwa na kontena mbili

zawadi zenye brand kubwa na orignal, mambo ya christian Dior, dolce & Gabbana, Gucci, hakuna feki feki.

Upande wa burudani zilipigwa fataki, wasanii Jux na Ommy walitoa burudani.

View attachment 2728125

View attachment 2728117

View attachment 2728122

View attachment 2728123
Bro kuna tatizo upande wangu picha kutofunguka ila huwa nafuatilia sana post zako. Tatizo ni nini?
 
sikukuu ya kuzaliwa MKE wa Tajiri wa makampuni ya GSM na Mdahamini Mkuu wa Klabu ya Yanga

Birthday iilihudhuriwa na wanafamilia / ndugu wa karibu.

Maua ni mengi sana yenye kuvutia, itakuwa yaliletwa na kontena mbili

zawadi zenye brand kubwa na orignal, mambo ya christian Dior, dolce & Gabbana, Gucci.

Upande wa burudani zilipigwa fataki, wasanii Jux na Ommy walitoa burudani.

View attachment 2728125

View attachment 2728117

View attachment 2728122

View attachment 2728123
ukiwa shabiki wa yanga automatically unakua chawa wa gsm
 
Back
Top Bottom