Duuuh hiyo mansion mzee baba ipo DSM kweli?sikukuu ya kuzaliwa MKE wa Tajiri wa makampuni ya GSM na Mdahamini Mkuu wa Klabu ya Yanga
View attachment 2728125
View attachment 2728117
View attachment 2728122
View attachment 2728123
Hao hela huwa wanachota Serikalini, na biashara zao zina kinga ya competition...muungie uoneDuuuh hiyo mansion mzee baba ipo DSM kweli?
Duuh tutafute hela aseee 🙁🙁
Yap kuna hela za biashara zao + serikalini.Hao hela huwa wanachota Serikalini
😄😄 Hata ukitafuta, ni ngumu kupata Mansion kama hiloDuuuh hiyo mansion mzee baba ipo DSM kweli?
Duuh tutafute hela aseee 🙁🙁
Mama samia shkamoo 🤭Hongera sana Ghalib na Salha.
Machalii wa R wnakuambia hapo imetumika laki tatu 3kwa haraka haraka hapo imetumika kama laki ngapi vile??
Hili linaonekana wazi kabisa lakini tuvumilie maana pesa ni zaowana ubaguzi sana
mjomba angeendelea kuwepo wangeita maji mmaHili linaonekana wazi kabisa lakini tuvumilie maana pesa ni zao
wana ubaguzi sana
Hawo viumbe hata nikiwaona tu nakuwa na hasira!!Na nyie muwabague.
Hawo viumbe hata nikiwaona tu nakuwa na hasira!!