Boss wa GSM tajiri asie na maneno amfanyia mkewe birthday party nyumbani, haya ndiyo yaliyojiri

Kuna ndugu yao mmoja alimwelewa msela mmoja jamaa akamkoleza kiasi kwamba binti akawa haambiliki wala kushikika pale nduguze wanapomkataza kutaka kuolewa na black. Walimteka masela na wachoenda kumfanya, hata shetani asingeweza kumfanyia kitendo kile
Mbna wao boss na ndugu zake wanawafanya hivyo watoto wa kimatumbi, tena mapapai.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mike Amiri, Mike Amiri, Billie Jean, Billie Jean, uh
Christian Dior, Dior, I'm up in all the stores
When it rains, it pours, she like the way I rrr.
 
Acha wivu wewe unamuonea wivu mwanamke?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Hahaha!

Ni maneno ya watu tu!

Ghalib ana shirikiana baadhi ya kazi na ndugu zangu wala hayupo hivyo!
Hao ndugu zako ndo wanayajua yote ya Gharib? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unachekeshaa weyeee khaaa, basi sisi tumesikia kwa wahusika wenyewee.
 
mbona povu linakutoka utopolo,
bora uhamie simba akili itakukaa sawa
Siyo Povu, ndio ukweli wenyewe. Watu wanamjua mtu akishafanikiwa na akiwa kwenye Peak ila hawajui mtu kasota na kapambana kwa muda gani. Wengi wamemjua GSM kupitia Yanga na wanadhani huo utajiri ameanza juzi kuwa nao. Na kingine tukubali au tukatae hawa wadosi kwenye business na fursa wanatuzidi sana akili, sisi kazi yetu kulalamika ilhali wote tunaishi nao hapahapa Bongo. Mwenye tatizo ni nani?
 
Hata mm nahisiki huyu ni bibie mwenyewe😂😂😂😂😂...moja shikamoo SASHA FaizaFoxy
Ndo yy huyo mkuu ulikuwa hujui?

Jiulize mbona anajua sana siasa na uislam tofauti na wanawake wengi wa humu ni yy sasha mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…