Boss wa GSM tajiri asie na maneno amfanyia mkewe birthday party nyumbani, haya ndiyo yaliyojiri

Yani waoane wenyewe, wapendane na washirikiane afu wewe uchukie?

Nyie mmekatazwa kuoana wenyewe kwa wenyewe na kushirikiana? Umewahi kusikia wao wakilalamika hamjawaalika au mmewagomea kuoa ndugu zenu? Charity begins at home kitu ambacho wamatumbi hamkijui hadi leo. Nyie endeleeni kuamini ndugu zenu ndo wabaya wenu muone kama mtafika popote.
Kuna ndugu yao mmoja alimwelewa msela mmoja jamaa akamkoleza kiasi kwamba binti akawa haambiliki wala kushikika pale nduguze wanapomkataza kutaka kuolewa na black. Walimteka masela na wachoenda kumfanya, hata shetani asingeweza kumfanyia kitendo kile
 
Yani waoane wenyewe, wapendane na washirikiane afu wewe uchukie?

Nyie mmekatazwa kuoana wenyewe kwa wenyewe na kushirikiana? Umewahi kusikia wao wakilalamika hamjawaalika au mmewagomea kuoa ndugu zenu? Charity begins at home kitu ambacho wamatumbi hamkijui hadi leo. Nyie endeleeni kuamini ndugu zenu ndo wabaya wenu muone kama mtafika popote.
Unaongeaga pwent sana ila tunagombana kubisha hakuna uchawi.
 
Back
Top Bottom