Boss wa Lake FM Aanzisha kipindi katika Clouds TV.


Asiyekuelewa kwa hili amelaaniwa
 
Umemaliza

Naomba uzi ufungwe tafadhali
 
Sio Mrs Noni ni mtoto wa Noni kuna kipindi alikuwa mkurugenzi wa TIB ila kuna kipindi pia alikuwa keko segerea kwa ishu ya ufisadi.
 
Mzee baba mafanikio ni kama nguo ya ndani, huwez kuta mtu kaianika nje kila mtu aione
..mafanikio ni Siri nzito ya mtu ...
 
Mzee baba mafanikio ni kama nguo ya ndani, huwez kuta mtu kaianika nje kila mtu aione
..mafanikio ni Siri nzito ya mtu ...
Kweli kabisa mzee baba,ukweli wanaujua wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…