jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Watoto wa maskini humu JF wataanza kupagawa na zile story za 'waliofanikiwa' oooh wkt niko chuo nilikua na save pocket money naenda kununua nguo za wakina dada kule makoroboi then nakuja nakuziuza kwa wanachuo nikaendelea hivyo hivyo mpk nikapata mtaji wa kufungua radio hii.
Kalagabhao, huyo binti ni mtoto wa Peter Noni ambae ni former Managing Director wa Tanzania Investment Bank (TIB) pia Managing Director of Six Telecoms Company Limited, so pesa amezikuta nyumbani alikozaliwa.
So msianze kujilinganisha nae.
Asiyekuelewa kwa hili amelaaniwa