Boss wa Virgin Airline afuma mfanyakazi usingizini

Yaani alipoamshwa na kumuona ni boss wake alirudia usingizi akijua anaota, [emoji15] [emoji99]
images
 
Soma kitabu chake cha Like a Virgin. Ndo utajua richard branson ni mtu wa aina gani.

Tafuta documentary inayohusu Necker Island. Ndo utaona maisha halisi ya huyu jamaa/
 
Nimepakua kitabu na documentary. Ahsante kwa maarifa!
 
Back
Top Bottom