nziriye
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 1,050
- 363
Yaani alipoamshwa na kumuona ni boss wake alirudia usingizi akijua anaota, [emoji15] [emoji99]
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani alipoamshwa na kumuona ni boss wake alirudia usingizi akijua anaota, [emoji15] [emoji99]
![]()
Yaani alipoamshwa na kumuona ni boss wake alirudia usingizi akijua anaota, [emoji15] [emoji99]
Lakini alikuwa yuko standby kwa hiyo alikuwa anavuta nguvu
Ulikuwa kibarua mkuu?Mimi niliwahi kukutwa nimesimama tu gereji, sikupata nafasi ya kujitetea. Nilifukuzwa kazi hata kabla ya lunch
Nilikuwa kibarua aisee wakati huo natafuta ada. Hawakujali umaskini wanguUlikuwa kibarua mkuu?
Nimepakua kitabu na documentary. Ahsante kwa maarifa!Soma kitabu chake cha Like a Virgin. Ndo utajua richard branson ni mtu wa aina gani.
Tafuta documentary inayohusu Necker Island. Ndo utaona maisha halisi ya huyu jamaa/
Pole,hawawezi kuthubutu kumfanyia hayo mtu mwenye mkatabaNilikuwa kibarua aisee wakati huo natafuta ada. Hawakujali umaskini wangu
Nimepakua kitabu na documentary. Ahsante kwa maarifa!