Boss wako akikuangalia hivi si unaweza ukatetemeka?

Mama Samia Suluhu Hasaan.Mtoto wangu wa miaka minne anajua kulitamka hilo jina na picha akiona anamtambua.
 
Kumbukeni wasukuma ni kama maji msipo wanywa mtawaoga..mtaji wa kisiasa ni kanda ya ziwa.

#MaendeleoHayanaChama
tatizo lao hawana msimamo na ni wanafiki wakubwa. Kabla ya magu walikuwa ngome ya upinzani walipoona ni msukuma mwenzao wakaikumbatia ccm, sasa ccm imeanza kuwatia chongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…