Boss wako akikuangalia hivi si unaweza ukatetemeka?

Boss wako akikuangalia hivi si unaweza ukatetemeka?

Reshuffle iendelee, wakati wote ndani ya vyama vya siasa kumekuwapo na hii kitu ya u timu fulani sasa timu fulani ikiotea nafasi za maamuzi wale wa timu ile hutamba sana, sasa shilingi ikigeuka tu lazima timu ile hali ibadilike.

Nafasi ya U-makamo wa Rais kimsingi unakuwepo tu Serikalini ila unakosa meno na hapo ndipo baadhi hukupuuza na kukuona si kitu sasa meza ikipinduka ndiyo waliokuvimbia hubaki kwenye baragumu.
 
Hakuna cha kushangaza hapo.
Chama chao kinaitwa CCM kila mMTU lazima ale
 
Mkuu BAK kwani huyo mwenye suti ni kalemani? Kama niyeye ajiandae kutuambia ccctv kamera za lisu alizipeleka wapi? Maana huyu kwenye sakata la kupigwa risasi anatajwa Kama ndie alitoa zile kamera Sasa ni muda wa kujibu.
You mean what went around has come around
 
Reshuffle iendelee,wakati wote ndani ya vyama vya siasa kumekuwapo na hii kitu ya u timu fulani sasa timu fulani ikiotea nafasi za maamuzi wale wa timu ile hutamba sana,sasa shilingi ikigeuka tu lazima timu ile hali ibadirike.

Nafasi ya U-makamo wa Rais kimsingi unakuwepo tu Serikalini ila unakosa meno na hapo ndipo baadhi hukupuuza na kukuona si kitu sasa meza ikipinduka ndiyo waliokuvimbia hubaki kwenye baragumu.
Makamu wa Rais Tanzania hana kazi
 
Ndio maana mimi binafsi napenda kuwa na kazi binafsi, kilicho juu yangu ni sheria tuu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi pia. Yaani sipendi kusimamiwa.
Baada ya kumaliza field ya mwaka wa 2 chuo, nilijisemea
"MUNGU NISAIDIE, SITAKI KUAJIRIWA"
Mpaka sasa siwazii kuja kuajiriwa japo inaweza kutokea, ila hata ikitokea itakuwa transition tu ya kurudi kujiajiri
 
Back
Top Bottom