Leo katika pita pita zangu wakuu nikaenda, kuna boss(HR) mmoja wa Rafiki angu akaniagiza nimletee vifaa vya umeme,
Basi katika kuniharakisha Ikabidi niazime gari kwa mwana niwahishe vifaa vile,
kufika tu napaki chuma nashangaa,
Eti huyo boss wa anasema Yani hujaajiriwa na umeshaanza kuendesha gari Dah wakuu nimemtafakari sana huyo (HR)
Alafu jamaa aliniambia nikifika nimuombe huyo boss wake kazi🤔aseeh wakuu nikajisemea bora niwe jobless kuliko kuomba kazi mtu mwenye mentality ya kichawi namna hiyo
Hivi kwenu wakuu, mtu unaweza omba, kazi boss wa namna hii??