Boss wangu ananitaka kimapenzi la sivyo anifukuze kazi

We acha mambo yako bhn mambo ya kuoa au kutokumuoa ni maamuzi ya wewe mwenyewe na si ushauri wetu labda kama umeleta mada ili utustareheshe ila kama kula ushakula asa tukushauri nini tena
 
Akamutoa
Kumulamba lamba
Kumuchelewesha

Rekebisha kwanza ayo maneno
 
Yaan hapa nilipo kichwa kinaniuma sijui hata nifanyeje
Mkuu uko tayari kuachana na mawazo ya kumtafuta BUTOGWA SHIJA maana uliahidi kudili nae. Juzi ulikuja na Uzi wa kuwananga wanawake wavaa mawigi au boss wako ndo wigi lilikufanya utupie uzi mkuu Beira Baby boy[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
sasa unaogopa nini wakati ulimla bia condom hofu yako nini sasa au unataka ushauriwe nini
 
Hyo inaitwa copy n ku paste....ila sio mbaya we moyo wako umeamuaje
 
Shida ni kwamba hamjatumia kinga, una uhakika gani kama hujaambukizwa magonjwa?
 
Ile ofis huwa ni yake peke yake harusiwi kuingia mwingine hovyo hovyo
 
We acha mambo yako bhn mambo ya kuoa au kutokumuoa ni maamuzi ya wewe mwenyewe na si ushauri wetu labda kama umeleta mada ili utustareheshe ila kama kula ushakula asa tukushauri nini tena
Anataka nimuoe lakin hiyo miaka ananizid mingi sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…