Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kweli mkuu inabid nimutose tu maana. Hakuna namnakuwa makini na mashuga mamy! atakuwa kaachika kwa kiserengeti boy chake sasa anakutafuta wewe. Usipokuwa makni atakuharibia maisha! Wanapenda kutumia pesa zao kuwapata vijana wadogo!
Usiwe na utata mkuuHahahahaha mwishowe utakamatika mkuu !!
Nanukuu "ile ofisi huwa ni yake peke yake harusiwi kuingia mwingine hovyo hovyo" none sense kabisa
Inahusiaka na nini hiyo ofisi hadi Wateja wanapewa masharti wasiingiie hovyo hovyo???
Hii story ina nipa kuwa na utata na maelekezo au pengine ume copy na kupest !!
Haya bhana !
Hahaaa mkuu una kumbu kumbu sana wewe
Mwambie mkapime ngoma, kama wrote mko fresh wewe msukumizie msumari was inch 6, lakini usisahah kuwa dogodogo size yako pembeni!!!!