Boss wangu ananitaka kimapenzi la sivyo anifukuze kazi

Kwenye vitu kama hivi huwa hawaombagi ushauri tukushauri mini sasa,wakati mmesha gegedana tayari?hata tukikushauri uachane naye hutaweza kumuacha ,kumbuka umesha ionja asari tayari,then wewe huna pesa ,yeye anapesa mpaka kufikia hapo kitakachojili kimesha fahamika tayari.
 
Hapana. Mkuu mimi nataka nimtose si unajua magongwa mkuu
 
Back
Top Bottom