Boss wangu ananitaka kimapenzi la sivyo anifukuze kazi

Mkuu uko tayari kuachana na mawazo ya kumtafuta BUTOGWA SHIJA maana uliahidi kudili nae. Juzi ulikuja na Uzi wa kuwananga wanawake wavaa mawigi au boss wako ndo wigi lilikufanya utupie uzi mkuu Beira Baby boy[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu BUTOGWA SHIJA ndo mwanamke wa ndoto zangu,

Huyu bos huwa anasuka lakin sijawah kumuona kavaa wigi
 
Msimamo ungekua nao toka pale alipokunyonya mboo ungefaulu vizuri...
 
kuwa makini na mashuga mamy! atakuwa kaachika kwa kiserengeti boy chake sasa anakutafuta wewe. Usipokuwa makni atakuharibia maisha! Wanapenda kutumia pesa zao kuwapata vijana wadogo!
 
Unataka ushauri wa nini? Maombi yako yamejibiwa tayari! juzi si ulikuwa unalia kuwa hupati demu? Sasa ndio huyo umempata endelea kukata viuno kama dancer wa chipolopolo mkuu ule kiulaini!
 
Anataka nihamie kwake mkuu lasivyo anifute kaz sasa hapo ndo kwenye ngoma nzito
sasa kinachokuleta hapa nini kwani hujafikia umri wa kumiliki Mke.... Acha kuwa Muoga piga mzigo na kula supu ya Pweza sana usituabishe
 
Ile ofis huwa ni yake peke yake harusiwi kuingia mwingine hovyo hovyo
Hahahahaha mwishowe utakamatika mkuu !!

Nanukuu "ile ofisi huwa ni yake peke yake harusiwi kuingia mwingine hovyo hovyo" none sense kabisa

Inahusiaka na nini hiyo ofisi hadi Wateja wanapewa masharti wasiingiie hovyo hovyo???

Hii story ina nipa kuwa na utata na maelekezo au pengine ume copy na kupest !!

Haya bhana !
 
Mbona dogo janja kaweza ww unashindwa nn?
 
"Mapenz yangu ni ya nguvu sana"
Unamanisha kwa wadada wanaohitaji mapenz ya nguvu wakuone? weka hitaji lako vizuri
 
Subiria kibuti pumbavu, hao ndio style ya mijimama atakukula kama muwa akikuchoka unakula ndula tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…