Boss wangu ananitaka kimapenzi la sivyo anifukuze kazi

Anhaaa ndo umekuja kumtangaza huku


By mfanyakazi mwenzio na mm nlitongozwa nmekubali
 
Kwenye vitu kama hivi huwa hawaombagi ushauri tukushauri mini sasa,wakati mmesha gegedana tayari?hata tukikushauri uachane naye hutaweza kumuacha ,kumbuka umesha ionja asari tayari,then wewe huna pesa ,yeye anapesa mpaka kufikia hapo kitakachojili kimesha fahamika tayari.
 
Sasa mkuu si unajua kabisa ni bos wangu sasa nikituma fis huon kama nitafukuzwa kaz
Hahaha hatajua kama ni wewe umemtumia. Kwani huyo fisi atakuwa na plate number yenye jina lako?!. Ka vipi mtumie mamba kabisa.
 
Hapana. Mkuu mimi nataka nimtose si unajua magongwa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…