Boss wenu Yuko Gerezani, Hukumu inakarabia na waliokuwa Washirika wameanza 'Kuparurana' Mitandaoni, kwanini CCM isizidi Kutawala tu?

Wewe umesahau yule kiongozi wao alivyokuwa "Mzena" walivyokuwa wanatapatapa, mara nimeongea nae asubuhi anawasalimia.

Anyways, ni kawaida; mkubwa akiondolewa kwenye field; foot soldiers lazima wafanye re-grouping. Sio process rahisi
Ni kweli . Mpaka tarehe 15 maghufuli alikuwa mzima. Infact mtoto wake alienda kumjulia Hali Mzena
 
Acha uzushi. Hakuna aliyewagombanisha Kigogo na Lissu. Chuki zako binafsi zimekutuma umtupie lawama "aliyekimbia taasisi nyeti
Taasisi Nyeti (Muhimu) Tanzania ambaye pia hujifanya ni 'Swahiba' wa hawa Wawili ndiyo akitumika vyema katika 'Kuwafarakanisha' na tayari ameshafanikiwa 99.9% hivi."

Pengine wewe ni kipofu ndo maana hukuweza kuona chanzo cha ugomvi wa Lissu na Kigogo. Kwa faida yako na wazembe wengine, Kigogo alitoa mapendekezo 6 hivi kwa Chadema kushughulikia suala la Mbowe. Miongoni mwa mapendekezo hayo ni Chadema kuingia mtaani, kupelekea watu nje kujifunza mbinu za kuing'oa CCM, kuchangishana fedha kwa ajili hiyo, nk.

Baadaye Lissu akamjibu kwa pointi 9 ambapo pamoja na masuala mengine alitanabaisha kuwa ushauri wa Kigogo kwamba Chadema waingie mtaani ni wa kijinga na hauendani na utamaduni wa chama hicho, ambacho tangu awali hakina asili ya vurugu.

Nilikuwa nakuona mtu mwenye hoja za msingi kumbe mzushi
 
Kwenda huko, Wewe kwahiyo kujiita Kwako Jasusi ndiyo unadhani utamtisha kila Mtu na Kuogopeka hapa JamiiForums na Tanzania?

Nami nilikuwa nakuona Mtu Mmoja makini ila leo nimegundua huna lolote na huenda ndiyo maana hata huko TISS unakojihusisha nako ulikimbia.

Haya umesema kuwa niwe makini na nitajuta sasa nami nakuomba tena nakuruhusu nifanyie hicho ambacho umenitisha nacho na umekidhamiria Kukifanya.

Kwakuwa Mimi nimeandika Mtu kutoka Taasisi Nyeti ( Muhimu ) nchini na kwa 'Kuwashwawashwa' Kwako umejihisi ni Wewe nami nakuuliza tena kuna Mtu katajwa na Kigogo kuwa yuko Ng'ambo ( Ulaya ) ni Choko ( Shoga ) je, hapa umelengwa Wewe au?

Vita ni sehemu ya Maisha yangu. Karibu!
 
Mwendazake laana kazaliwa nazo,mauaji,ufisadi wote katokanao kwao burundi...dada kunywa kvant upunguze mawazo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una stress za gaidi wako kuwekwa rumande!
 
Ndo maana nimesema labda umelewa kwa sababu ungekuwa mzima ungebaini vitu viwili, kwanza, kigogo hajaanza kunitukana leo, na hiyo inapingana na utopolo wako kuwa nimekuwa swahiba wa hao wawili. Pili twiti husika ilikuwa ina screenshot yenye twiti yangu.

Jeuri yake ni kama yako, imani kwamba kujificha kwenye fake IDs kunampa mtu kinga anapofanya uhuni.

Mie sijakutisha, kwa sababu mtu mwenye dhamira ya kukufanyizia hakutishi. Anyway, let's see who will have the last laugh.
 
Potelea mbali, ushetani unaopandikizwa na ccm una mwisho na hauwezi kushinda kamwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…