BoT acheni Usumbufu juu ya pesa za watu

Umeona ukisema kwa kutoa coment haitoshi ukaona uje uianzishie uzi kabisa.

Upumbavu zaidi ni hapo umeandika tu maneno ya kufikirika bila kuweka ushahidi.

Kwa taarifa yako tu huyo kibaraka wako wa Amsterdam haoati zaidi ya 20%
YANI UPUPU ALIOONGEA HAU EXIST POPOTE NA HAKUNA AFISA WA BENKI KUU ANAEWEZA KUPIGA PESA KWA MTINDO HUU PALE.
UJINGA MTUPU!
 
Wewe ni mnufaika wa kutengeneza mazingira ya Rushwa, pesa ikija mnaizuia kisha mnamtishia kumpa kesi za utakatishaji fedha mwenye pesa ili awape Rushwa, tulikuwa tunakutafuta wewe mwizi bahati nzuri umejileta mwenyewe
 
YANI UPUPU ALIOONGEA HAU EXIST POPOTE NA HAKUNA AFISA WA BENKI KUU ANAEWEZA KUPIGA PESA KWA MTINDO HUU PALE.
UJINGA MTUPU!
Ulaaniwe kwa kuwaibia watu pesa zao kisha kuwatishia kesi za utakatishaji fedha
 
Unaweza kuwa na hoja kuhusu swala la BOT lakini mwandiko wako unaonesha kuwa una chuki binafsi yaani too personal
 
Chama chako hakina uwezo wa kushinda uchaguzi huu,
Kikifikisha 30% nitakupogeza kupitia uzi wako huu.
Najua utasema sijitambui kwa sababu siungi mkono saccos yenu.
 
utakuwa ni mnufaika wa hizo pesa zinazoporwa maana wewe mwandiko wako unaonyesha unatetea dhuluma ya BOT kwa kisingizio feki kuwa kuna chuki binafsi wakati waliiporwa pesa zao ni wengi na umeshuhudia michango yao kwenye hii mada
 
Chama chako hakina uwezo wa kushinda uchaguzi huu,
Kikifikisha 30% nitakupogeza kupitia uzi wako huu.
Najua utasema sijitambui kwa sababu siungi mkono saccos yenu.
ingekuwa ni saccos msingekuwa kila mda mnashinda njama za kuwahujumu kuwadhoofisha kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi mngeacha wananchi waamue wenyewe, CCM bila wizi wa kura bila uchakachuaji bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
Chama chako hakina uwezo wa kushinda uchaguzi huu,
Kikifikisha 30% nitakupogeza kupitia uzi wako huu.
Najua utasema sijitambui kwa sababu siungi mkono saccos yenu.
CCM haitaki kuleta maendeleo pesa zote za viwanda zinatumika kudidimiza demokrasia na hata tuvimaendeleo kiduchu walivyofanya kuna ufisadi mkubwa wa kutisha
 
Chama chako hakina uwezo wa kushinda uchaguzi huu,
Kikifikisha 30% nitakupogeza kupitia uzi wako huu.
Najua utasema sijitambui kwa sababu siungi mkono saccos yenu.
Wewe ni mnufaika wa zile trilion.1.5 kisha mkamtoa CAG kafara upate kutafuna hiyo pesa kiulaini bila kelele
 
Chama chako hakina uwezo wa kushinda uchaguzi huu,
Kikifikisha 30% nitakupogeza kupitia uzi wako huu.
Najua utasema sijitambui kwa sababu siungi mkono saccos yenu.
Wewe uligawana bilion 12 na Ndungai kule india, wewe ni kijitu Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…