Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,535
- 2,226
Unafahamu maana ya Reserve cover?Kwa sasa miradi yote inategemea mikopo/misaada toka nje. Kama hayo ni ya kweli mikopo ya kazi gani wakati akiba hiyo imetokana na uzalishaji wetu wa ndani??
Toa hapo utapata tofautiAkiba = 19 Trillion
Deni = 107 Trillion
Nchi ya kusadikika utasikia uchumi umeimalika kuliko awamu zote.
Cc: Lucas MwashambwaView attachment 3404030
RAIS SAMIA AVUNJA REKODI YA MIAKA YOTE AKIBA YA FEDHA ZA KIGENI, YAFIKIA DOLA 6.4BN NA DHAHABU TANI6.7, HAIJAPATA KUFIKIWA!
===
Tangu Rais Samia aingia madarakani akiba ya fedha za kigeni imeendelea kuwa ya kuridhisha kukidhi mahitaji ya uagizaji wa bidhaa na huduma nje ya nchi. Hadi kufikia July 2025, kiwango cha akiba ya fedha za kigeni kilifikia $6.4bn sawa na TZS 16.7 Trilioni pamoja na Tani 6.7 za Dhahabu sawa na $719M au TZS 1.9 Trilioni zinaifanya Akiba kufikia TZS19 Trilioni.
Wakati Mwaka 2020 kulikuwa na akiba ya $4.8bn sawa na TZS12Trilioni.
View attachment 3404032
Watanzania Oktoba Tunatiki✅
na deni la marekani limefika ngapAkiba = 19 Trillion
Deni = 107 Trillion
Nchi ya kusadikika utasikia uchumi umeimalika kuliko awamu zote.
fanya kaziUsanii Mtupu
Wananchi Wana Hali Ngumu Sana Sana
Haya Ni Porojo
fanya kazi
View attachment 3404030
RAIS SAMIA AVUNJA REKODI YA MIAKA YOTE AKIBA YA FEDHA ZA KIGENI, YAFIKIA DOLA 6.4BN NA DHAHABU TANI6.7, HAIJAPATA KUFIKIWA!
===
Tangu Rais Samia aingia madarakani akiba ya fedha za kigeni imeendelea kuwa ya kuridhisha kukidhi mahitaji ya uagizaji wa bidhaa na huduma nje ya nchi. Hadi kufikia July 2025, kiwango cha akiba ya fedha za kigeni kilifikia $6.4bn sawa na TZS 16.7 Trilioni pamoja na Tani 6.7 za Dhahabu sawa na $719M au TZS 1.9 Trilioni zinaifanya Akiba kufikia TZS19 Trilioni.
Wakati Mwaka 2020 kulikuwa na akiba ya $4.8bn sawa na TZS12Trilioni.
View attachment 3404032
Watanzania Oktoba Tunatiki✅
sasa unataka adanganye auNi wakati wa kikwete tu ndio hakukuwa na Haya maandiko ya haijawahi kutokea
Ila awamu ya magu na mama kila siku ni kwa mara ya kwanza, au haijawahi kutokea hahaha
Mnatuona watanzania vilaza sana