stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
chadema wengi hawana elimu 🤣 🤣 , hawajui ata benki kuu saaahv inatunza mpaka dhahabuComent
Unafahamu maana ya Reserve cover?

View attachment 3404030
RAIS SAMIA AVUNJA REKODI YA MIAKA YOTE AKIBA YA FEDHA ZA KIGENI, YAFIKIA DOLA 6.4BN NA DHAHABU TANI6.7, HAIJAPATA KUFIKIWA!
===
Tangu Rais Samia aingia madarakani akiba ya fedha za kigeni imeendelea kuwa ya kuridhisha kukidhi mahitaji ya uagizaji wa bidhaa na huduma nje ya nchi. Hadi kufikia July 2025, kiwango cha akiba ya fedha za kigeni kilifikia $6.4bn sawa na TZS 16.7 Trilioni pamoja na Tani 6.7 za Dhahabu sawa na $719M au TZS 1.9 Trilioni zinaifanya Akiba kufikia TZS19 Trilioni.
Wakati Mwaka 2020 kulikuwa na akiba ya $4.8bn sawa na TZS12Trilioni.
View attachment 3404032
Watanzania Oktoba Tunatiki✅
Kazj yao ni pingapinga FCchadema wengi hawana elimu 🤣 🤣 , hawajui ata benki kuu saaahv inatunza mpaka dhahabu
na deni la marekani limefika ngap
na kufurahia mabaya 🤣 🤣 , ndo wanataka kupewa nchiKazj yao ni pingapinga FC
Labda amekopa ili kuweka reserve, sijui ni hesabu ya wapi hii?View attachment 3404030
RAIS SAMIA AVUNJA REKODI YA MIAKA YOTE AKIBA YA FEDHA ZA KIGENI, YAFIKIA DOLA 6.4BN NA DHAHABU TANI6.7, HAIJAPATA KUFIKIWA!
===
Tangu Rais Samia aingia madarakani akiba ya fedha za kigeni imeendelea kuwa ya kuridhisha kukidhi mahitaji ya uagizaji wa bidhaa na huduma nje ya nchi. Hadi kufikia July 2025, kiwango cha akiba ya fedha za kigeni kilifikia $6.4bn sawa na TZS 16.7 Trilioni pamoja na Tani 6.7 za Dhahabu sawa na $719M au TZS 1.9 Trilioni zinaifanya Akiba kufikia TZS19 Trilioni.
Wakati Mwaka 2020 kulikuwa na akiba ya $4.8bn sawa na TZS12Trilioni.
View attachment 3404032
Watanzania Oktoba Tunatiki✅
Ni utapeli na ujinga ujingaLabda amekopa ili kuweka reserve, sijui ni hesabu ya wapi hii?
Waache Uhuni na Uchawa wapuuzi Wakubwa.View attachment 3404030
RAIS SAMIA AVUNJA REKODI YA MIAKA YOTE AKIBA YA FEDHA ZA KIGENI, YAFIKIA DOLA 6.4BN NA DHAHABU TANI6.7, HAIJAPATA KUFIKIWA!
===
Tangu Rais Samia aingia madarakani akiba ya fedha za kigeni imeendelea kuwa ya kuridhisha kukidhi mahitaji ya uagizaji wa bidhaa na huduma nje ya nchi. Hadi kufikia July 2025, kiwango cha akiba ya fedha za kigeni kilifikia $6.4bn sawa na TZS 16.7 Trilioni pamoja na Tani 6.7 za Dhahabu sawa na $719M au TZS 1.9 Trilioni zinaifanya Akiba kufikia TZS19 Trilioni.
Wakati Mwaka 2020 kulikuwa na akiba ya $4.8bn sawa na TZS12Trilioni.
View attachment 3404032
Watanzania Oktoba Tunatiki✅
kupanda na kushuka kwa shilingi ni nadharia ya kisiasa, ina lengo zuri ila usiweke hisia kwenye pesa! ni namba tuHuu ujinga wa kugeuza kila kitu ni siasa tunaua sekta nyingi, huwezi kusikia wanasema kuhusu kushuka kwa thamani ya shilingi na mfumuko wa bei za bidhaa
Kwamba hatuoni athari kwenye bidhaa?kupanda na kushuka kwa shilingi ni nadharia ya kisiasa, ina lengo zuri ila usiweke hisia kwenye pesa! ni namba tu
pesa ni mchezo tu wa namba! pesa inatumika kuhamisha thamani unaotoa kwenda namba kwahio wewe zingatia thamani unayotoa ila kma umeajiriwa we mfungwa utaendelea kulalamika miaka yoteKwamba hatuoni athari kwenye bidhaa?
Niajiriwe na nani? acha upuuzipesa ni mchezo tu wa namba! pesa inatumika kuhamisha thamani unaotoa kwenda namba kwahio wewe zingatia thamani unayotoa ila kma umeajiriwa we mfungwa utaendelea kulalamika miaka yote