Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Awamu ya majangili tupu
kama hujaajiriwa basi pesa ni namba tu unless unafanya biashara ya hovyo! ata kama tsh 1 ikawa dola laki kama hujui mchezo wa pesa huezi nufaika nayoNiajiriwe na nani? acha upuuzi
nenda kale mchana ushaingia ama unasubiria mapato ya tone toneAwamu ya majangili tupu
Sibahatishi kwenye biasharakama hujaajiriwa basi pesa ni namba tu unless unafanya biashara ya hovyo! ata kama tsh 1 ikawa dola laki kama hujui mchezo wa pesa huezi nufaika nayo
UWT sahivi mnapesa za wasaka madarakanenda kale mchana ushaingia ama unasubiria mapato ya tone tone
Hakuna kitu kama hicho shehe TANZANIA INAJENGWA KWA MIKOPO NA PESA ZA MISAADAView attachment 3404030
RAIS SAMIA AVUNJA REKODI YA MIAKA YOTE AKIBA YA FEDHA ZA KIGENI, YAFIKIA DOLA 6.4BN NA DHAHABU TANI6.7, HAIJAPATA KUFIKIWA!
===
Tangu Rais Samia aingia madarakani akiba ya fedha za kigeni imeendelea kuwa ya kuridhisha kukidhi mahitaji ya uagizaji wa bidhaa na huduma nje ya nchi. Hadi kufikia July 2025, kiwango cha akiba ya fedha za kigeni kilifikia $6.4bn sawa na TZS 16.7 Trilioni pamoja na Tani 6.7 za Dhahabu sawa na $719M au TZS 1.9 Trilioni zinaifanya Akiba kufikia TZS19 Trilioni.
Wakati Mwaka 2020 kulikuwa na akiba ya $4.8bn sawa na TZS12Trilioni.
View attachment 3404032
Watanzania Oktoba Tunatiki✅
basi huna akili, anaetakiwa kulia pesa ni mtu alieajiriwa hakuna mfanya biashara anaweza kuja kulalamika kuhusu tsh yeye kila kitu kwake fursaSibahatishi kwenye biashara
na nyie si mna pesa za tone toneUWT sahivi mnapesa za wasaka madaraka
😅😅na nyie si mna pesa za tone tone
sasa unataka adanganye au
Chadema watapinga na kuanza kutukana 😂😂View attachment 3404030
RAIS SAMIA AVUNJA REKODI YA MIAKA YOTE AKIBA YA FEDHA ZA KIGENI, YAFIKIA DOLA 6.4BN NA DHAHABU TANI6.7, HAIJAPATA KUFIKIWA!
===
Tangu Rais Samia aingia madarakani akiba ya fedha za kigeni imeendelea kuwa ya kuridhisha kukidhi mahitaji ya uagizaji wa bidhaa na huduma nje ya nchi. Hadi kufikia July 2025, kiwango cha akiba ya fedha za kigeni kilifikia $6.4bn sawa na TZS 16.7 Trilioni pamoja na Tani 6.7 za Dhahabu sawa na $719M au TZS 1.9 Trilioni zinaifanya Akiba kufikia TZS19 Trilioni.
Wakati Mwaka 2020 kulikuwa na akiba ya $4.8bn sawa na TZS12Trilioni.
View attachment 3404032
Watanzania Oktoba Tunatiki✅
Akiba ya Fedha za kigeni ndio inazuia kukopa?Kwa sasa miradi yote inategemea mikopo/misaada toka nje. Kama hayo ni ya kweli mikopo ya kazi gani wakati akiba hiyo imetokana na uzalishaji wetu wa ndani??
Akiba hiyo imetokana na nn?? Au mnakopa muweke akiba??Akiba ya Fedha za kigeni ndio inazuia kukopa?
Ahahahaaaa mzee wa ufagioMkuu Kafulila Hajambo?
Kabla ya wakatiAsante kwa kwa kuanza kampeni.