BoT: Akiba ya fedha za Kigeni yafikia Tsh. Trilioni 19

 
Labda amekopa ili kuweka reserve, sijui ni hesabu ya wapi hii?
 
Huu ujinga wa kugeuza kila kitu ni siasa tunaua sekta nyingi, huwezi kusikia wanasema kuhusu kushuka kwa thamani ya shilingi na mfumuko wa bei za bidhaa
 
Waache Uhuni na Uchawa wapuuzi Wakubwa.

Haijawahi kutokea, Kwan akiba ya Mwaka 2027 itapungua?? Au akiba ya Mwaka 2035 itapunguwa?.

Akiba itazidi kuongezeka Mwaka Hadi Mwaka.

Kama ambavyo Deni la Taifa linazidi kuongezeka.
 
Huu ujinga wa kugeuza kila kitu ni siasa tunaua sekta nyingi, huwezi kusikia wanasema kuhusu kushuka kwa thamani ya shilingi na mfumuko wa bei za bidhaa
kupanda na kushuka kwa shilingi ni nadharia ya kisiasa, ina lengo zuri ila usiweke hisia kwenye pesa! ni namba tu
 
Kwamba hatuoni athari kwenye bidhaa?
pesa ni mchezo tu wa namba! pesa inatumika kuhamisha thamani unaotoa kwenda namba kwahio wewe zingatia thamani unayotoa ila kma umeajiriwa we mfungwa utaendelea kulalamika miaka yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…