BoT: Akiba ya fedha za Kigeni yafikia Tsh. Trilioni 19

Hakuna kitu kama hicho shehe TANZANIA INAJENGWA KWA MIKOPO NA PESA ZA MISAADA
 
Chadema watapinga na kuanza kutukana 😂😂
 
Kwa sasa miradi yote inategemea mikopo/misaada toka nje. Kama hayo ni ya kweli mikopo ya kazi gani wakati akiba hiyo imetokana na uzalishaji wetu wa ndani??
Akiba ya Fedha za kigeni ndio inazuia kukopa?
 
Wakati huo shilingi yetu inazidi kuteyeleka dhidi ya Dola
 
Mnaweza kuandika hata Trilioni 100 kwani tunaziona?
Bei ya usd ndio tunayoijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…