BoT: Akiba ya fedha za Kigeni yafikia Tsh. Trilioni 19

Akiba = 19 Trillion
Deni = 107 Trillion

Nchi ya kusadikika utasikia uchumi umeimalika kuliko awamu zote.

Hahahaha, tulitegemea tuwe na akiba kubwa kuliko deni ili tukishikwa kende tunalipa chapu mambo mengine yanendelea...

Sijawahi kuwaamini CCM kwenye issue za takwimu na makaratasi, njia pekee yakuwaamini CCM ni matokeo ambayo unayaona kwa macho yako..

ndani ya viunga vya Basra-Iraq.
 
Yaani upumbavu mtupu mkuu!
 
Kwanini uamini kwenye deni sasa kama huwaamini Kwa Takwimu?
 
Kazi ni Mbele tu
 
haya ni maajabu
 
factors affecting democracy in Tz
1. Poor lidashipu
2. Ignorance
3. Chawanism
4. Poverty which leads pipo to be chawaz.
5. Lack of patriotism
6. backbiting
 
factors affecting democracy in Tz
1. Poor lidashipu
2. Ignorance
3. Chawanism
4. Poverty which leads pipo to be chawaz.
5. Lack of patriotism
6. backbiting
sio kweli hoja zako no dhaifu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…