The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Naona stanbic bank weshafikisha riba 14% sasa ngoja tuendelee kuvuta pumziNi nzuri na pesa itatolewa Ila Sasa utekelezaji wa kupunguza ribs kwa benk zetu chini ni ngumu sana
Sasa benki kuu ikikopesha sekta binafsi,taasisi za kibiashara zitafanya kazi gani? Naona hapa riba ya 10% inagusa pia na mikopo mingine kiujumla-Anyway,bado naona utekelezaji huu utachukua muda maana mapendekezo haya ya kisera juu ya hizi taasisi kupunguza riba yamekaa ki hiyari zaid (Optional)Sector iliyopunguziwa kuwa chini ya asilimia kumi ni kilimo
kwa nini wao bot wasikopeshe
Asilimia 7% Inatosha kufanya biashara, kwa maana nyingine hili ni lazimisha la kushusha riba kuwa 10% kwa benki zote.Sasa benki kuu ikikopesha sekta binafsi,taasisi za kibiashara zitafanya kazi gani? Naona hapa riba ya 10% inagusa pia na mikopo mingine kiujumla-Anyway,bado naona utekelezaji huu utachukua muda maana mapendekezo haya ya kisera juu ya hizi taasisi kupunguza riba yamekaa ki hiyari zaid (Optional)
Ukiusoma huo mwongozo vizuri,unawapa mabenki uhuru wa kuamua kufuata hayo masharti au lah-we have a very long way to go.Njia thabiti ni mabenki yenyewe kulazimishwa na hali ya soko kushusha riba.Kiuhalisia riba za Tanzania ni kubwa mno mno.Asilimia 7% Inatosha kufanya biashara, kwa maana nyingine hili ni lazimisha la kushusha riba kuwa 10% kwa benki zote.
Ni kubwa na hazilipiki.. ndo maana watu wengi wanashindwa kulipa na biashara zinakufa!Ukiusoma huo mwongozo vizuri,unawapa mabenki uhuru wa kuamua kufuata hayo masharti au lah-we have a very long way to go.Njia thabiti ni mabenki yenyewe kulazimishwa na hali ya soko kushusha riba.Kiuhalisia riba za Tanzania ni kubwa mno mno.
Mzee salary za mwezi huu zimetoka? Na je kama zimetoka mfumo umekaaje brazaMama anazidi kuupiga.
Alianza mikopo ya bodi ghafla nikajikuta milioni 7.8 za dhulma zimefutwa. Nilishakata tamaa deni kuisha.
Sasa benki riba zinaanzwa kupunguza kwa agizo lake. Kwa taarifa hii nmeshamuarifu fundi wa kupaua ajiandae. Rangi.
Mungu akubariki Madame President.
Nadhani sheria ya Tanzania haijaipa mamlaka benki kuu kuzilazimisha benki za biashara kushusha riba mpaka % flani,but ina power kubwa ya ku-influence riba kupitia policy zake kwenye soko Example.Let's say NMB,TPB, & TIB zikakubaliana na hzo policy za Benki kuu kwa kukubali kukopa kwenye huo mfuko wake kwa 3% ili ziweze kukopesha kwa 10% or less-automatically zitavutia wateja wengi kutoka mabenki mengine na hivyo ili mabenki mengine yaweze kushindana yatalazimika kushusha riba ili kukabiliana na hali ya soko.Kwa hatua hii, hapa Serikali imeonesha nia kweli ya kuongeza pesa mtaani.
Kama riba ya Benki Kuu imeshushwa hadi 3% kwa ajili ya ku support Taasisi za Kifedha ikiwemo Mabenki ya kibiashara, kwanini Benki hizi hazishushi hizo Riba kwa Wateja wao??
Unakuta Mabenki bado wana ng'a ng'ana na riba ya 17 hadi 16%, Naomba Serikali itoe maagizo haya Mabenki yashushe Riba kufikia 8% angalau.
Kama wao wanapewa Riba 3% kwanini washindwe kutoa hizo 8%. Faida ya 5% hiyo mbona inatosha.